Wakili
JF-Expert Member
- Jun 19, 2017
- 531
- 657
Staha + Arabuni = 'Staha ya Arabia'
1.Staha_yenye kusimamia kujiendesha katika Utu, kiasi na utaratibu mwema.
2.Na Arabia_hii najua unafahamu
Atakaye tafsiri tofauti na hivi ujue Mnazi wa Lugha.
Yaani kila Kona Mtu mweusi anavishwa Joho la kumsitiri asiaibike.
Vijana sijui wanatoa wapi Ujasiri wa kujiona wanastahili.!?
As I will say. I am talking with someone whom the system has already corrupt him mentaly and so the physical view.
Hivi neno kama linatumika uarabuni, does that justify anything concerning the act of the word "ustaarabu".? Yani kama neno tembea lilianza tumika Africa does it mean kwamba Ulaya na Asia hawatembei?
Hii ndio tunaiita brainwashing, and nothing else.
Now answer those questions correctly.