let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Mara 3 nilipata nafasi ya kuhudhuria mikutano ya kisiasa South.. kwa kiasi kidogo kuna kitu nilikigundua kuhusu Siasa za Africa kusini na Africa kwa ujumla.
Mara zote hizo nilihudhuria mikutano ya Chama cha Malema tu.
Upande wa ANC sikuwai hudhulia mikutano yao labda kutazama katika runinga tu.kwa asili nina upinzani damuni napenda upinzani pinzani hata kama sina cha ku-gain katika upinzani huo.
Na japo ANC hawana sera za ubaguzi sana kuhusu wageni ila sivutiwi tu na chama icho na sina sababu ya msingi ya kutokukipenda.
Katika kuhudhuria kwangu na kutazama siasa za wazuru nikagundua kwamba:, siasa zao hazina tofauti na siasa za nchi nyingine za Afrika.
Ukiwasikiliza akina Malema na Gwede Matase ni sawa unawasiliza akina Mnyika na Kabudi.
utofauti ni sauti, nchi, sura, vyama na lugha.. mengine yote ni yale yale.
Malema na chama chake:, wanasiasa za kianaharakati sana kama ilivyo kwa vyama vyetu vya upinzani nchini.
Siasa za matukio, ukiondoa matukio hawana hoja ya msingi ya kuiondoa SA ilipo na kuipeleka mbele.
Unrest ya hivi majuzi Malema na chama chake walikuwa nyuma ya unrest hiyo.
watu wamepoteza ajira na mitaji yao kwa inshu ya kipumbavu. wanapigania haki at the same times wanapinga maamzi ya mahakama yaliyotolewa kwa haki.
Unajiuliza, " hawa jamaa wanashida gani vichwani mwao?".
hivi karibuni Malema alisema"wakichukua nchi wataondoa sanamu zote za PAUL cruger".
Wasauzi kwasasa wanashida kubwa mno ya ajira hali hii imewafanya wakimbilie kazi zilizokuwa zikifanywa na wageni tu uko nyuma.
Sasa unajiuliza:, "hawa jamaa hawaoni umaskini uliotamalaki ndani ya wapiga kura wao hata waone kudili kuvunja masanamu ni big dili?
Kuvunjwa kwa sanamu ndiyo hitaji la MZANSI? sanamu ina impact gani katika ya maisha ya kila siku ya wapiga kura wao?.
Ile sanamu ni ukumbusho,sasa wanataka ukumbusho uvunjwe, nje na kusoma vitabuni wataona vizazi vijavyo wataona nini?.
ANC nao wana UCCM ndani yao:, sema kinachowafunga Jeshi na Mahakama viko huru.
kule akina Kingai hawapo na Police wao PGO wanaijua sana so ni ngumu kwa Askari wa South kutumika kishamba(kisiasa) ukitumika kishamba utafungwa na hakuna wa kukuwekea kifua.
NINACHOTAKA KUSEMA NI KWAMBA:,
blacks tunafanana sana KITABIA kuliko race zingine zote duniani. unapomuona blacks walioko Mississippi(MAREKANI) hawana utofuti na BLACKS waliopo Jimbo la kaduna (NAIJERIA ).
HITIMISHO.
AFRICA TUJARIBU KURUHUSU RACE ZINGINE ZIINGIE KATIKA MIFUMO YETU
YA SIASA NA AJIRA UENDA IKASAIDIA KUTUTOA HAPA TULIPO.
Mr slim kashaanza kujaribu ili.. nahisi atafika mbali.