Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao.

Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni samia wakati ni serikali.

Nchi za afrika hata msoga uchawa wake alitaka kuja TZ aje kucheza mpira tanesco ubungo.Na kila raisi wa afrika alitaka kuja kwake kama mnakumbuka.

IMG_1866.jpeg
 
Hapo walipiga kwenye mshono.Nakumbuka hii series
😀😀 kila mtu alikuwa chawa,mpaka yule Thugnificient japo alikuwa hamjui alitoa ngoma inaitwa Dick riding Obama ft Will.I.Am
 
Back
Top Bottom