Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
-
- #81
Sina maana hiyo.Kwahiyo hakuna mwafrika yeyote unayeamini katika fikra zake? Watu weupe hawajawahi kumpenda mtu mweusi.
Mimi nimepinga weupe au nimesema sisi waafrica ni wajinga, kuzaliwa mweusi imekuwa kama laanaHio Id yako umejiita Putin hapo hapo unapinga weupe wakati id inashabikia weupe anza na id yako wewe ndio mwafrica halisi unachosema na unachopractice opposite kabisa.
Tatizo siyo kupoteza muda mwingi kusali.Dini haikumbazi wewe. Kwani umelazimishwa kuifuata? Siku sita zote fanya kazi ZAKO, siku ya saba pumzika. Sasa dini inakudumaza vipi wewe?
Tatizo lipo kwenye vichwa vyetu broo.Imagine East Africa yote ; TZ, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi na iyo South Sudan mwenza wazimu mpya wetu hata na DRC Km 4.8 m sq km yet uchumi wa mambumbu wote tunapitwa na nchi km Israel au Singapore which Israel is 20,000 sq km na Singapore 700 sqkm Alafu Kenya inajiita largest economy; largest kw mavi yetu. Africa nzima uchumi mdogo than UK, Japan au Germany alone. Elon Musk tu anatuzidi uchumi TZ na Kenya combined..... heri tuwe 20 million blacks km Jews tu but live in dignity and wealth than a billion feces tu
Nimeanza kuwa na mtazamo kuwa mweusi ni laanaHata usimfikishe huko mbali...
Aende tu hapa Malaysia, Singapore na Thailand. Tumepata nao uhuru almost the same time leo wenzetu wako mbali sana...Attitude. Wako proud. Wanajiamini. Wamepambana kukomesha ufisadi na leo wako vizuri sana!
Wengi wetu ndio wamepumbazwa mtu anaweza kuwa hana hela hata ya kula ana buku tu lkn yupo radhi kuitoa sadaka kwa mwamposa.Dini haikumbazi wewe. Kwani umelazimishwa kuifuata? Siku sita zote fanya kazi ZAKO, siku ya saba pumzika. Sasa dini inakudumaza vipi wewe?
Umechukua paragraph yangu ya kwanza ambayo ilikuwa inaelezea kwamba things change na since beginning of time kabla ya ukoloni na kuvamiwa african were living a more fulfilling and sustainable life.... Mtizamo wangu wa pili wala haujauzungumzia na ili tuone kama tupo on the same page nijibu hii picha inayofuata...Hujanielewa na ndiyo maana unazungumzia individually.
Kama ni mansa kan kan musa namjua alikuwa mfalme wa MALI EMPIRE na ndiye mtu anae shikilia record ya kuwa mtu tajiri duniani kuwahi kuishi mpaka sasa.
Lakini hiyo ni kwa watafiti wa kileo, watu wa dini nao watasema ni MFALME SULEIMAN, so inabidi na akili ya ziada kupambanua mambo.
What I know for sure, uwezo wetu wa kiakili ni mdogo kuliko wahindi, waarabu na wazungu.
Sijui hii imesababishwa na nini. Tuulaumu ukoloni huenda ulituharibu akili zetu
Mtu mweusi ndio baba wa weupe.Baba siku zote anawajali wanawe.Ndio ukaona mtu mweusi anamuonea huruma mtu mweupe,na kumsaidia akiwa na tatizo.Mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe,udongo mweusi ndio udongo wa mwanzo kuumbwa binadamu,baadaye ndio wakapatikana weupe.Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.
Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".
Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.
Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.
Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.
Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.
Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.
Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.
Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.
Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.
Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.
Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.
Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.
Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.
Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.
Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.
Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?
Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?
Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.
Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.
Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.
Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]
Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.
I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.
Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.
To day I declare that, Being black is an Evil
🤣🤣🤣🤣Mstari unaomtenganisha mtu mweusi na nyani ni mwembamba sana. Wenyewe hatujikubali,hatuwezi andika maneno matano bila kuweka huko kiingereza. Mleta mada mwenyewe ana jina la mzungu. Sisi ni manyani yaliyochangamka.
Uafrika hasa utanzania ni laana.Kila kitu cha Mwafrika ni duni, na kubadilika sio leo
Upo sahihi kabisa.Nimeanza kuwa na mtazamo kuwa mweusi ni laana
Poa tajiri mzunguLeo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.
Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".
Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.
Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.
Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.
Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.
Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.
Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.
Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.
Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.
Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.
Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.
Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.
Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.
Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.
Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.
Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?
Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?
Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.
Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.
Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.
Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]
Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.
I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.
Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.
To day I declare that, Being black is an Evil
Tuliza kichwa na usome alichoandikaPoa tajiri mzungu
Hakuna kitu mazaTuliza kichwa na usome alichoandika