Nimeipenda sana hiyo point: Ukristo haukufundishi kuipigania dini. Asante mkuu kwa kuchangiaHAKIKA MKUU
Ukristo umechangia pakubwa katika amani kwa maana ukristo haukufundiishi kuipenda au kuipiganua dini bali kuipigani nafsi yako katika wokovu wa bwana.
KAMA WEWE NI MKRISTO BASI HONGERA SANAAA🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Soma kwa utulivu, mkuu. Nimesema Wakristo wa kweli.Ungesema hivi watu wote wangefuata mafundisho ya biblia hapo ingeleta maana,maana wakristo wapo lkn hawayaishi hayo
usikurupuke
You're already a senior member — impressive. But unless you make the leap to JF-expert member status, some of these higher-order arguments might remain just slightly out of reach. Press on — understanding grows with elevation😎mental health is real
Kama ulikwepa kusoma somo la Historia, ngoja nikumegee:Mbna kabla hatujaletewa dini tuliishi kwa amani na maadili yetu yalikua mazuri tu, ila walipokuja waleta dini wakatufanya watumwa kabisa na kututendea ukatili?
Walioleta dini walitukatili na bado wanaendelea kutukatili.... Utu wa mtu upo ndani yake na si kwenye dini kama unavyotufundisha Madame
Hapa ungeongezea hawabagui watu kutokana na imani na misimamo yao ingekuwa bora zaidiHawabagui watu kwa rangi, kabila, au hali yao ya maisha, kwa kuwa katika Kristo, hakuna Myahudi wala Myunani, mtumwa wala aliye huru (Wagalatia 3:28).
Kama ni kweli basi naungana na weweKama ulikwepa kusoma somo la Historia, ngoja nikumegee:
David Livingstone (mpelelezi Mkristo wa karne ya 19), alishuhudia ukatili mkubwa wa utumwa uliokuwa ukifanywa na Waafrika kwa Waafrika hata kabla ya biashara ya watumwa kuimarishwa na Waarabu au Wazungu.
Watafiti wa Historia kama John Iliffe wameandika kuwa jamii nyingi za Kiafrika zilikuwa na mifumo ya kifalme na vita vya mara kwa mara kati ya makabila ili kushindania ardhi na mali. Na kuna makabila yalikuwa yanajimwambafy kuwa ni mashujaa wa kuiba ng'ombe za watu wa makabila mengine.
Kabla ya dini, kulikuwa na tohara za kikatili, ndoa za kulazimishwa, na kafara za binadamu katika baadhi ya maeneo.
Kabla ya dini kuna maeneo watu walikuwa wakiishi kwa hofu ya uchawi na ushirikina. Mtu akijenga nyumba nzuri analogwa.
Hayo ndiyo maadili mema unayodai yalikuwepo kabla ya Ukristo kuingia?
Vipi lakini umeishaacha kulewa? Kama bado, jikumbushe tena huu uzi:Kama ni kweli basi naungana na wewe
Naelekea kuachaVipi lakini umeishaacha kulewa? Kama bado, jikumbushe tena huu uzi:
WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...www.jamiiforums.com