Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria, ambapo zaidi ya watu 100 wameuawa ndani ya saa 48 zilizopita.
Taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Haki za Binadamu la Syria imesema waliouawa kwenye mapigano hayo ni wapiganaji 85 wanaoungwa mkono na Uturuki na 16 kutoka kundi la Syrian Democratic Forces (SDF), jeshi la Wakurdi wa Syria wanaoungwa mkono na Marekani.
Hali kwenye mji wa kaskazini mwa Syria, Manbij imezidi kuwa mbaya baada ya wanajeshi wa Uturuki kuzidisha mashambulizi yao ya angani na ardhini.
Pande hizo mbili zinawania udhibit wa bwawa la Tishrin, ambalo ni muhimu kwa rasilimali za maji na umeme. Bwawa lenyewe linaripotiwa kuwa limeanza kuharibiwa kutokana na mapigano hayo.
Sehemu kubwa ya kaskazini mwa Syria iko mikononi mwa wapiganaji wa SDF, ambao waliongoza vita vilivyolishinda kundi linalojiita Dola la Kiislamu mnamo mwaka 2019.
========================================================
Since Friday evening, clashes in several villages around the city of Manbij have left 101 dead, including 85 members of pro-Turkish groups and 16 from the Kurdish-dominated Syrian Democratic Forces (SDF), the Britain-based Syrian Observatory for Human Rights said.
The SDF said it had repelled "all the attacks from Turkey's mercenaries supported by Turkish drones and aviation".
The Turkish defence ministry said it had "neutralised" 32 Kurdish fighters in northern Syria, without providing further details.
Turkish-backed factions in northern Syria resumed their fight with the SDF at the same time as Islamist-led rebels were launching an offensive on November 27 that overthrew Syrian president Bashar al-Assad just 11 days later.
The pro-Ankara groups succeeded in capturing Kurdish-held Manbij and Tal Rifaat in northern Aleppo province, despite US-led efforts to establish a truce in the Manbij area.
The fighting has continued since, with mounting casualties.