Watu zaidi ya 100 wauawa Kaskazini mwa Syria ndani ya saa 48 zilizopita

Watu zaidi ya 100 wauawa Kaskazini mwa Syria ndani ya saa 48 zilizopita

How
Ukabila na Udini hautaisha middle east.

Vita zote za middle east zinamzizi kwenye Ukabila.

Waarabu Watu wa middle waeast wanamatabaka ya kiukoo sana...

Na kila Ukoo/Kabila lina Silaha nyingi sana.. mfano hapo Gaza tu, kuna koo zinasilaha za kuigeuza Gaza kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe
About your mother land
 
Wakirudi wapo nchi tatu zinazopakana,iraq,syria na uturuki,sasa wao wanataka waunde taifa lao badala ya kila mmoja kuwa raia kwenye nchi husika,yaani kama wamasai,wanyasa,wayao,wamakonde wawe na harakati za kuunda mataifa yao
wakuu wa dunia wapo, wawape tu hiyo nchi ya Kurdistan. Wamege uturuki, syria na iran waliko hao wakurdi
 
Back
Top Bottom