Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana chief. Kama uliona maandamano kipindi kile kule Iran yule mwanamke alikuwa mkurdi. Wao walikuwa taifa kubwa sio kama vikundi vya vidogo kama wamasai mzee. Kurdistan ni eneo kubwa kweli na eneo lao lina mafuta ya kutoshaHakuna mateso wanayopitia bali wao kutaka 'nchi yao'..yaani leo kagera walilie buganda kingdom,wamasai kadhalika!!?..haiwezekani
Hakupata kashkash sababu ni mkurdi bali alivunja sheria za nchi,nchi ni nchi haijalishi ukubwa,je kagera wadai buganda empire?Hapana chief. Kama uliona maandamano kipindi kile kule Iran yule mwanamke alikuwa mkurdi. Wao walikuwa taifa kubwa sio kama vikundi vya vidogo kama wamasai mzee. Kurdistan ni eneo kubwa kweli na eneo lao lina mafuta ya kutosha
Sasa wenzio hawataki hayo maisha wanataka waishi kama walivyokuwa wanaishiHakupata kashkash sababu ni mkurdi bali alivunja sheria za nchi,nchi ni nchi haijalishi ukubwa,je kagera wadai buganda empire?
West media hawatariport hii maana wanataka kuaminisha watu kuwa kwa sasa wasiria wapo peponi baada ya hasadi kuondokaMapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria, ambapo zaidi ya watu 100 wameuawa ndani ya saa 48 zilizopita.
Taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Haki za Binadamu la Syria imesema waliouawa kwenye mapigano hayo ni wapiganaji 85 wanaoungwa mkono na Uturuki na 16 kutoka kundi la Syrian Democratic Forces (SDF), jeshi la Wakurdi wa Syria wanaoungwa mkono na Marekani.
Hali kwenye mji wa kaskazini mwa Syria, Manbij imezidi kuwa mbaya baada ya wanajeshi wa Uturuki kuzidisha mashambulizi yao ya angani na ardhini.
Pande hizo mbili zinawania udhibit wa bwawa la Tishrin, ambalo ni muhimu kwa rasilimali za maji na umeme. Bwawa lenyewe linaripotiwa kuwa limeanza kuharibiwa kutokana na mapigano hayo.
Sehemu kubwa ya kaskazini mwa Syria iko mikononi mwa wapiganaji wa SDF, ambao waliongoza vita vilivyolishinda kundi linalojiita Dola la Kiislamu mnamo mwaka 2019.
========================================================
Since Friday evening, clashes in several villages around the city of Manbij have left 101 dead, including 85 members of pro-Turkish groups and 16 from the Kurdish-dominated Syrian Democratic Forces (SDF), the Britain-based Syrian Observatory for Human Rights said.
The SDF said it had repelled "all the attacks from Turkey's mercenaries supported by Turkish drones and aviation".
The Turkish defence ministry said it had "neutralised" 32 Kurdish fighters in northern Syria, without providing further details.
Turkish-backed factions in northern Syria resumed their fight with the SDF at the same time as Islamist-led rebels were launching an offensive on November 27 that overthrew Syrian president Bashar al-Assad just 11 days later.
The pro-Ankara groups succeeded in capturing Kurdish-held Manbij and Tal Rifaat in northern Aleppo province, despite US-led efforts to establish a truce in the Manbij area.
The fighting has continued since, with mounting casualties.
Ukabila na Udini hautaisha middle east.Ukiwauliza hawa watu wa nchi moja why wanapigana, sijui watajibuje yaani!
Kobazi ni zaid ya kengeHawa wavaa kobazi wanamalizana
Majibu yao ni yaleyale wa magharibi ndio chanzo wanataka wapole mafuta na kuuza siraha!Ukiwauliza hawa watu wa nchi moja why wanapigana, sijui watajibuje yaani!
fact afu bado watakwambia ni marekani ndio chanzoUkabila na Udini hautaisha middle east.
Vita zote za middle east zinamzizi kwenye Ukabila.
Waarabu Watu wa middle waeast wanamatabaka ya kiukoo sana...
Na kila Ukoo/Kabila lina Silaha nyingi sana.. mfano hapo Gaza tu, kuna koo zinasilaha za kuigeuza Gaza kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe
Hili swali limetoka wapi?.. maana halina uhusiano na mjadala wetuWewe ukipewa silaha na Marekani umalize watanzania wenzako ambao ni ndugu na jamaa zako, utakubali kufanya ukatili huo?
Wakurdi wapo na Iran pia.Wakirudi wapo nchi tatu zinazopakana,iraq,syria na uturuki,sasa wao wanataka waunde taifa lao badala ya kila mmoja kuwa raia kwenye nchi husika,yaani kama wamasai,wanyasa,wayao,wamakonde wawe na harakati za kuunda mataifa yao
Kurdi haikuwahi kuwa taifa mkuu usitudanganye.Hapana chief. Kama uliona maandamano kipindi kile kule Iran yule mwanamke alikuwa mkurdi. Wao walikuwa taifa kubwa sio kama vikundi vya vidogo kama wamasai mzee. Kurdistan ni eneo kubwa kweli na eneo lao lina mafuta ya kutosha
Iran kapakana na uturuki upande gani?Wakurdi wapo na Iran pia.
Iraq, Iran,Syria na Turkiye zote zimepakana.