Watu zaidi ya 100 wauawa Kaskazini mwa Syria ndani ya saa 48 zilizopita

Hakuna mateso wanayopitia bali wao kutaka 'nchi yao'..yaani leo kagera walilie buganda kingdom,wamasai kadhalika!!?..haiwezekani
Hapana chief. Kama uliona maandamano kipindi kile kule Iran yule mwanamke alikuwa mkurdi. Wao walikuwa taifa kubwa sio kama vikundi vya vidogo kama wamasai mzee. Kurdistan ni eneo kubwa kweli na eneo lao lina mafuta ya kutosha
 
Hakupata kashkash sababu ni mkurdi bali alivunja sheria za nchi,nchi ni nchi haijalishi ukubwa,je kagera wadai buganda empire?
 
Hakupata kashkash sababu ni mkurdi bali alivunja sheria za nchi,nchi ni nchi haijalishi ukubwa,je kagera wadai buganda empire?
Sasa wenzio hawataki hayo maisha wanataka waishi kama walivyokuwa wanaishi
 
West media hawatariport hii maana wanatak
West media hawatariport hii maana wanataka kuaminisha watu kuwa kwa sasa wasiria wapo peponi baada ya hasadi kuondoka
 
Ukiwauliza hawa watu wa nchi moja why wanapigana, sijui watajibuje yaani!
 
Ukiwauliza hawa watu wa nchi moja why wanapigana, sijui watajibuje yaani!
Ukabila na Udini hautaisha middle east.

Vita zote za middle east zinamzizi kwenye Ukabila.

Waarabu Watu wa middle waeast wanamatabaka ya kiukoo sana...

Na kila Ukoo/Kabila lina Silaha nyingi sana.. mfano hapo Gaza tu, kuna koo zinasilaha za kuigeuza Gaza kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe
 
SDF inaungwa mkono na marekani, maana yake inapewa silaha na intelijensia na marekani

Wewe ukipewa silaha na Marekani umalize watanzania wenzako ambao ni ndugu na jamaa zako, utakubali kufanya ukatili huo?
 
Hii habari imetoka wapi? Utaripoti habari ya watu kila wanapopigana kwa ujinga wao halafu wanakulaumu wewe? Mashariki ya kati vita nyingi hazina kichwa wala miguu,hazijawahi kuisha huwa kunatulia tu anasubiriwa mtu mjinga mwenye ushawishi au fedha akusanye wajingawenzie anatafuta siraha anaanzisha jeshi ataliita--- state,wataanzisha vita dhidi ya ,--- state bhaaasi kinanuka tena.
 
Fa
fact afu bado watakwambia ni marekani ndio chanzo
 
Wewe ukipewa silaha na Marekani umalize watanzania wenzako ambao ni ndugu na jamaa zako, utakubali kufanya ukatili huo?
Hili swali limetoka wapi?.. maana halina uhusiano na mjadala wetu
 
Wakirudi wapo nchi tatu zinazopakana,iraq,syria na uturuki,sasa wao wanataka waunde taifa lao badala ya kila mmoja kuwa raia kwenye nchi husika,yaani kama wamasai,wanyasa,wayao,wamakonde wawe na harakati za kuunda mataifa yao
Wakurdi wapo na Iran pia.
Iraq, Iran,Syria na Turkiye zote zimepakana.
 
Hapana chief. Kama uliona maandamano kipindi kile kule Iran yule mwanamke alikuwa mkurdi. Wao walikuwa taifa kubwa sio kama vikundi vya vidogo kama wamasai mzee. Kurdistan ni eneo kubwa kweli na eneo lao lina mafuta ya kutosha
Kurdi haikuwahi kuwa taifa mkuu usitudanganye.
Kurdi ni kabila kubwa tu ambalo liliwahi kujitawala tangu enzi za Persia,Seljuk na Ottoman Empire.
Ila haikuwahi kuwa taifa.
Kama ukitaja makabila kuna makabila makubwa sawa na kurdi ila mbona hawagombanii kuanzisha nchi??
 
Kobazi wanapukutishana mpaka basi. Kobazi indeleeni ivo ivo mpaka mshindi apatikane. Maana mungu wenu anasema jino kwa jino. Endeleeni kutimiza hiyo aya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…