K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 16,166 Reaction score 25,197 Jan 7, 2025 #41 gallow bird said: Iran kapakana na uturuki upande gani? Click to expand... Upande wa Azerbaijan na Iraq. Na wana share mpaka kama wa kilometa 500. Na Kurdistan ipo katikati ya nchi nne,Iran,Iraq,Syria na Uturuki.
gallow bird said: Iran kapakana na uturuki upande gani? Click to expand... Upande wa Azerbaijan na Iraq. Na wana share mpaka kama wa kilometa 500. Na Kurdistan ipo katikati ya nchi nne,Iran,Iraq,Syria na Uturuki.
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Jan 7, 2025 #42 Mindyou said: Wewe ukipewa silaha na Marekani umalize watanzania wenzako ambao ni ndugu na jamaa zako, utakubali kufanya ukatili huo? Click to expand... Ukianza na CCM.
Mindyou said: Wewe ukipewa silaha na Marekani umalize watanzania wenzako ambao ni ndugu na jamaa zako, utakubali kufanya ukatili huo? Click to expand... Ukianza na CCM.
S saiko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 782 Reaction score 922 Jan 8, 2025 #43 How stormryder said: Ukabila na Udini hautaisha middle east. Vita zote za middle east zinamzizi kwenye Ukabila. Waarabu Watu wa middle waeast wanamatabaka ya kiukoo sana... Na kila Ukoo/Kabila lina Silaha nyingi sana.. mfano hapo Gaza tu, kuna koo zinasilaha za kuigeuza Gaza kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Click to expand... About your mother land
How stormryder said: Ukabila na Udini hautaisha middle east. Vita zote za middle east zinamzizi kwenye Ukabila. Waarabu Watu wa middle waeast wanamatabaka ya kiukoo sana... Na kila Ukoo/Kabila lina Silaha nyingi sana.. mfano hapo Gaza tu, kuna koo zinasilaha za kuigeuza Gaza kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Click to expand... About your mother land
S stormryder JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 3,776 Reaction score 5,786 Jan 8, 2025 #44 saiko said: How About your mother land Click to expand... Tanzania ina afadhali, ulinganisha na hao
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 8, 2025 #45 gallow bird said: Wakirudi wapo nchi tatu zinazopakana,iraq,syria na uturuki,sasa wao wanataka waunde taifa lao badala ya kila mmoja kuwa raia kwenye nchi husika,yaani kama wamasai,wanyasa,wayao,wamakonde wawe na harakati za kuunda mataifa yao Click to expand... wakuu wa dunia wapo, wawape tu hiyo nchi ya Kurdistan. Wamege uturuki, syria na iran waliko hao wakurdi
gallow bird said: Wakirudi wapo nchi tatu zinazopakana,iraq,syria na uturuki,sasa wao wanataka waunde taifa lao badala ya kila mmoja kuwa raia kwenye nchi husika,yaani kama wamasai,wanyasa,wayao,wamakonde wawe na harakati za kuunda mataifa yao Click to expand... wakuu wa dunia wapo, wawape tu hiyo nchi ya Kurdistan. Wamege uturuki, syria na iran waliko hao wakurdi