Watu zaidi ya 15 wafariki kwa ugonjwa usiofahamika, Chunya

Watu zaidi ya 15 wafariki kwa ugonjwa usiofahamika, Chunya

Status
Not open for further replies.
Wataalamu wa afya wafanye uchunguzi haraka kubaini chanzo ili kudhibiti.
pole kwa watanzania wenzetu walio ifiwa, Mungu azipokee roho zao
Wapelekewe miti shamba,maana kwa Sasa dawa za Mabeberu hazitakuwi,hata upasuaji tutapiga Nyungu.
 
Majanga hayo sasa, wameshindwa kujua Ni ugonjwa gani mpaka muda huu hii Sasa utani hawa ma Dr. magonjwa yanayoambatana na kutapika damu mpaka unavuta mojawapo ni anthrax,Ebola...nk.
Mkuu km unavyojua hospitali zetu nyingi hazina vifaa vya kisasa,hadi watume sampuli Hospitali za rufaa au Muhimbili, kwa hiyo usishangae Sana hali ndivyo ilivyo.
 
Tanzania inatakiwa kuwepo na kikosi maalumu kwa ajili ya magonjwa ya milipuko na ikiwezekana wanakua na chopa yao kabisaa ya emergency bila kutegemea usafiri wa magari hapo tutakua tumeweza maana hii ya watu kutoa taarifa mpaka kwenye kikao cha madiwani na ishu ya kuzima Moto Mungu atusaidie kwa kweli...
Wazo zuri,bila shaka wenye mamlaka watalifanyia Kazi.
 
TUWE MAKINI SANA NA HAWA MABEBERU.TENA MBAYA ZAIDI TUMEKATAA CHANJO NA BILL GATES ALISEMA KUNA JANGA LITAKUJA BAYA ZAIDI HATUJUI LITAANZIA NCHI GANI.
Kwani wao ni Mungu?, kwani wao hawatakufa?,Acha kutishwa kijinga, Binafsi namtegemea Mungu aishiye milele yote,ambaye anaweza kuua mwili na Roho;Hao wendawazimu (Mabeberu)wakiweza wataua mwili tu, roho hawana ujanja nayo.
 
Poleni ndugu zanu watanzania serikali ipo bize kidogo kuweni wapole
 
TUWE MAKINI SANA NA HAWA MABEBERU.TENA MBAYA ZAIDI TUMEKATAA CHANJO NA BILL GATES ALISEMA KUNA JANGA LITAKUJA BAYA ZAIDI HATUJUI LITAANZIA NCHI GANI.
Aisee nimewaza hivyo hivyo, isijekuwa wanaleta mavirusi mapya ya kutengeneza maabara ili kutukomesha kisa tumekataa chanjo 🤷🏽
 
Kwani wao ni Mungu?, kwani wao hawatakufa?,Acha kutishwa kijinga, Binafsi namtegemea Mungu aishiye milele yote,ambaye anaweza kuua mwili na Roho;Hao wendawazimu (Mabeberu)wakiweza wataua mwili tu, roho hawana ujanja nayo.
Na wewe unalaani bure. Umeamini kweli ni mabeberu? Hii nchi tumefikia kwenye hali ya chini sana ya kufikiri. Mawazo ya wajinga ndiyo yanaongoza nchi.
 
Nani kakuambia hakipo? Ubaya wa nyakati hizi ni kwamba sirikali yetu haitaki kuwa wazi.

Au umesahau Mwele alifanywaje baada ya kusema Tanzania kuna Zika virus? Sasa huyo Mwele ndiyo alikuwa hiko kitengo.
Mwere alikuwa NIMR wazee wa NIMRCAFE
 
Nadhani itakuwa sio COVID
Afadhali ingekuwa COVID. Ukute ni ugonjws mpya duniani. Tanzania tutapata publicity DRC waliyopata ya Ebola. Not a good thing! Haya magonjwa mara nyingi yanasababishwa na kula nyama zisizoeleweka kama za wanyama pori flani au samaki flani nk.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom