Watu zaidi ya 15 wafariki kwa ugonjwa usiofahamika, Chunya

Watu zaidi ya 15 wafariki kwa ugonjwa usiofahamika, Chunya

Status
Not open for further replies.
Pole kwa wafiwa, i think viruses wa corona wame-mutate, hii form waliyochukua sasa ni ya kutubadilisha kuwa mazombi, zombi kuu ni jiwe, ngoja aathirike na hiyo virus vile ule mkichwa wake ulivyokaa hauna angle sipati picha atavyoongoza mazombi wadogo, kama movie vile
 
Nimesikiliza Uhai TV, Mganga wa wilaya anasema hao 15 ni wamefariki tangu mwaka 1996. Na sasa hakuna aliyelazwa, mgonjwa wa mwisho alipokelewa December 2020.

Mwandishi aliyeripoti hii taarifa kaleta mshtuko katika jamii bila sababu
 
Pole Kwa wafiwa.
Mungu awaponye Kwa huruma zake ambao bado wanaugua...na Tiba ipatikane walau mapema.
 
Hivi ni nani aliesema ngozi nyeusi hawafi kwa kwa huyo mdudu jamani??? Haya sasa limezuka gonjwa jingine. Sijui watasemaje.


Poleni wandugu, walioko hosipitali Mungu awaponye.
 
Jiwe aongoze sala na maombi utaisha tu Kama Corona ilivyoisha my foot .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom