Wapelekewe miti shamba,maana kwa Sasa dawa za Mabeberu hazitakuwi,hata upasuaji tutapiga Nyungu.Wataalamu wa afya wafanye uchunguzi haraka kubaini chanzo ili kudhibiti.
pole kwa watanzania wenzetu walio ifiwa, Mungu azipokee roho zao
Ulitakiwa kuanza na maneno "ndugu zangu..."Wapinzani wametuchelewesha sana
Mkuu km unavyojua hospitali zetu nyingi hazina vifaa vya kisasa,hadi watume sampuli Hospitali za rufaa au Muhimbili, kwa hiyo usishangae Sana hali ndivyo ilivyo.Majanga hayo sasa, wameshindwa kujua Ni ugonjwa gani mpaka muda huu hii Sasa utani hawa ma Dr. magonjwa yanayoambatana na kutapika damu mpaka unavuta mojawapo ni anthrax,Ebola...nk.
Wazo zuri,bila shaka wenye mamlaka watalifanyia Kazi.Tanzania inatakiwa kuwepo na kikosi maalumu kwa ajili ya magonjwa ya milipuko na ikiwezekana wanakua na chopa yao kabisaa ya emergency bila kutegemea usafiri wa magari hapo tutakua tumeweza maana hii ya watu kutoa taarifa mpaka kwenye kikao cha madiwani na ishu ya kuzima Moto Mungu atusaidie kwa kweli...
Kwani wao ni Mungu?, kwani wao hawatakufa?,Acha kutishwa kijinga, Binafsi namtegemea Mungu aishiye milele yote,ambaye anaweza kuua mwili na Roho;Hao wendawazimu (Mabeberu)wakiweza wataua mwili tu, roho hawana ujanja nayo.TUWE MAKINI SANA NA HAWA MABEBERU.TENA MBAYA ZAIDI TUMEKATAA CHANJO NA BILL GATES ALISEMA KUNA JANGA LITAKUJA BAYA ZAIDI HATUJUI LITAANZIA NCHI GANI.
vipi unaubia na hao mabeberu auWapelekewe miti shamba,maana kwa Sasa dawa za Mabeberu hazitakuwi,hata upasuaji tutapiga Nyungu.
Nimewaza hivyo hivyo, kisa tumekataa chanjo ndio wanataka kutukomoa sijui πππLabda n ebola, wadhungu wanaweza kutufanyia hujuma haooo???,ππ
Aisee nimewaza hivyo hivyo, isijekuwa wanaleta mavirusi mapya ya kutengeneza maabara ili kutukomesha kisa tumekataa chanjo π€·π½TUWE MAKINI SANA NA HAWA MABEBERU.TENA MBAYA ZAIDI TUMEKATAA CHANJO NA BILL GATES ALISEMA KUNA JANGA LITAKUJA BAYA ZAIDI HATUJUI LITAANZIA NCHI GANI.
Na wewe unalaani bure. Umeamini kweli ni mabeberu? Hii nchi tumefikia kwenye hali ya chini sana ya kufikiri. Mawazo ya wajinga ndiyo yanaongoza nchi.Kwani wao ni Mungu?, kwani wao hawatakufa?,Acha kutishwa kijinga, Binafsi namtegemea Mungu aishiye milele yote,ambaye anaweza kuua mwili na Roho;Hao wendawazimu (Mabeberu)wakiweza wataua mwili tu, roho hawana ujanja nayo.
Mwere alikuwa NIMR wazee wa NIMRCAFENani kakuambia hakipo? Ubaya wa nyakati hizi ni kwamba sirikali yetu haitaki kuwa wazi.
Au umesahau Mwele alifanywaje baada ya kusema Tanzania kuna Zika virus? Sasa huyo Mwele ndiyo alikuwa hiko kitengo.
Afadhali ingekuwa COVID. Ukute ni ugonjws mpya duniani. Tanzania tutapata publicity DRC waliyopata ya Ebola. Not a good thing! Haya magonjwa mara nyingi yanasababishwa na kula nyama zisizoeleweka kama za wanyama pori flani au samaki flani nk.Nadhani itakuwa sio COVID
Wajinga sana wadhunguππNimewaza hivyo hivyo, kisa tumekataa chanjo ndio wanataka kutukomoa sijui πππ