MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Hapana ninamkosoa huyo, kwamba hatupaswi kuwaogopa,ndio maana nikasema Kama ni kweli watatuua.Na wewe unalaani bure. Umeamini kweli ni mabeberu? Hii nchi tumefikia kwenye hali ya chini sana ya kufikiri. Mawazo ya wajinga ndiyo yanaongoza nchi.
Huko shughuli za uchimbaji hufanyika. Inaweza kuwa vinahusiana.Si karibu na mgodi kweli maana kuna mtu amewahi kuleta uzi wa ugonjwa kama huo katika harakati zake za mgodini.
Mkisema ni corona mtapungukiwa nini?
[emoji2][emoji2]COVID PRO MAX
Wapinzani wametuchelewesha sana