Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,124
- 2,472
Maandamano hayo yalioyotokea katika miji mikubwa ya italia yenye wito wa kuupinga uhusiano wa kifedha, kisiasa na kijeshi kati ya Italia na Israel, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inaingia Gaza bila vizuizi.
*******
Hauitaji kuwa na upande kwenye kukemea maovu moyo wa utu haujafungwa ndani ya dinii.
Inchi za ulaya hawana uhusiano wa moja kwa moja na Uislamu, lakini wanahisi uchungu wa watoto wanaouliwa, hospitali na shule kubomolewa,na raia wasio na hatia kubanwa bila chakula ,maji wala umeme.
Zionism na ubaguzi hazina nafasi tena katika dunia ya leo.mnsoshabikia Israel kufanya mauaji kwasabbu za kidini mnapaswa kujifunza kutofautisha kati ya imani ya Kiyahudi (ambayo watu wengi wanaiheshimu) na mradi wa kisiasa wa Zionism.
Wananchi wanapinga serikali zao ambazo zinashirikiana kijeshi au kifedha na israel