Yaani unauliza kama unataka vile😁Hivi viagra zinatolewa hospital kama mtu akienda kumuona daktari kwa shida ya nguvu za kiume?
Hivi viagra zinatolewa hospital kama mtu akienda kumuona daktari kwa shida ya nguvu za kiume?
Pesa au sio??😂Duh na upendaji Nyuchi wote nilio nao aisee sijawahi tamani kutumia viagra , vumbi la kingo niliwah tumia nikaona halina raha yoyote bali ni kujitesa tu maana raha ya tendo wala hisia hupati nikalimbia nalo...
Nikaja kupata suluhisho ambalo ndio linanipa sifa nzr kwa Wanawake wa rika zote hd leo hii , yani humo ni utamu mwanzo mwsho bila tabu kusema ukweli 🤑
Kwa hiyo na we unawasaga wenzio, au sioDuh na upendaji Nyuchi wote nilio nao aisee sijawahi tamani kutumia viagra , vumbi la kingo niliwah tumia nikaona halina raha yoyote bali ni kujitesa tu maana raha ya tendo wala hisia hupati nikalimbia nalo...
Nikaja kupata suluhisho ambalo ndio linanipa sifa nzr kwa Wanawake wa rika zote hd leo hii , yani humo ni utamu mwanzo mwsho bila tabu kusema ukweli 🤑
siku hizi wanawake wengi wamegundua biashara kwa wanaume. Wanauza vipande vya mihogo, vipande vya karoti, vipande vya nazi na karanga kidogo ongeza na mbegu za maboga, huo mchanganyiko wanaita busta.ulipaswa uwaeleze wana nzengo ya JF viagra ni nini na kazi zake hasa ni zipi ndio uende kwenye mada...
All in all kuna vyakula vya asili kama Tangawizi, tende, maziwa, ndizi, mihogo mibichi.. ukitumia hizi zitakuongezea nguvu za kufanya mapenzi pasipo kuathiri Afya yako
MkuuuuuuuuVijana WA BongoUnapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda.
Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia wanaume kufikia na kudumisha kusimama kwa kuboresha mtiririko wa damu kwenye uume, ambayo hushughulikia shida ya erectile dysfunction yani kutoweza dindisha kisawa sawa
Mkuu OKOA jamiiiiiHaya matunda tunayochukulia poa kuyala yana nguvu nyingi mwanzo mwisho. Ukitaka uwahi au uchelewe kupiga goli yapo matunda ya kula. Kuna maziwa pia, haina haja ya kutumia dawa zenye nguvu kubwa mpaka zinazidi na kuleta madhara. Shoo inapigika kwa ubora wake bila kuathiri mwili
Ongeza na kegel exercise hapo 😁ulipaswa uwaeleze wana nzengo ya JF viagra ni nini na kazi zake hasa ni zipi ndio uende kwenye mada...
All in all kuna vyakula vya asili kama Tangawizi, tende, maziwa, ndizi, mihogo mibichi.. ukitumia hizi zitakuongezea nguvu za kufanya mapenzi pasipo kuathiri Afya yako