Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

siku hizi wanawake wengi wamegundua biashara kwa wanaume. Wanauza vipande vya mihogo, vipande vya karoti, vipande vya nazi na karanga kidogo ongeza na mbegu za maboga, huo mchanganyiko wanaita busta.
Hahaaa na wale wanaotupanganfoleni vituon wanaitwa mabwana pwezaaa

Yaaan nimecheka juzi nilipita shekilango kuna jamaa Wana supu nzuri sana ya pweza ajabu PEMBEN nakuta wanawake kama 6. Wanalamba supu na pweza na kachori sikuwamaliza

NKAONDOKA

KUFIKA maeneo ya nyumban he hamad nakutà jamaa Yangu MMOJA nae wanawake wamefura mbaya hivi nao zinaongeza nyege ama

Maana Nina GFriend aliachana na jamaa yake kwa kweli Toka WAACHANE nikivinjari kwa nguvu sana ndio namwona anakunja uso anakumbatia ila zamani ukiingjza kelele kama zote NKASEMA sijui speaker imekataa ndani ama lah nikitaman kujua waya uliokuwa UKIPIGA kelele niuunge wengine ugonjwa wetu

Mwenye dawa za nyege kwa mwanamke awe na hamu mtueekee hapa pls

YAAN wakati mwingine ukimwi ta anakwambia dady nimechoka jambo ambalo akuwa hivyo huko nyuma

MSAADA pls nikimtishia kama wewe supa sana enjoy na wakoa nakata dk tatu anapigà basi naomba nije sorry

Mungu fundi wengine wanapambana na mshedede kusimama kuchelewa sie tunapambana na nyege za mwanamke loh

Imekuwa kama wimbo
 
Hivi mwanamke akikudogosha akili zako kwa kukutania na kukuona wewe bwege, kukuomba pesa kijinga-jinga na ukimuomba anakutolea nje, siku ya kumpata unaweza kuhitaji viagra kweli, au usumbufu ni viagra tosha?
 
Bibi Yangu Maza Mama alikua Anahakikisha Kila siku.
1.Chai ya Tangawizi..... Ndo point ya Nyumbani Kila siku
2. Ikikosekana Tangawizi Chai ya Mdarasini
3. Chakula cha Dona/ Ugari wa mtama... Kiswahili sijui wanaitaje ila wanaita Ukana kitwetu.
4. Matunda kwa Babu yalikua mengi, Shamba la miembe na shamba la Ndizi na Tulikua na shamba la Michugwa. Pia Babu alikua ataki mtoto wa Kiume akatailiwe Hosprali, Wote Tumetailiwa Jandoni, na Kutairiwa mpaka uwe na Miaka 12 au 13.
5. Pia kijijini Tulikua tunakula Makopa( Miogo mikavu) na kingine Home bibi alikua anachemsha Chai na majani ya mchai chai.
7.Tumekula sana Miogo kupoza Njaa kama bibi amechelewa kupika ,ila nashangaa mjini watu wanakula Miogo kipande ndo anasema anaongeza Nguvu ww kula tu kwa kuimarisha Afya ya mwili kingine,Tuondoe mawazo kabla ya kushuliki mapenzi/ Ngono.
8.Kiujumla life style ya Masha na ulaji vinajenga mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…