Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Mod hapo juu ni Kutoa sio kutoka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshaanza uzushi wenu, sijui huwa mnafaidika na nini kuzusha mambo?Mama wa binti amefariki dunia...bila shaka ni ugonjwa wa moyo
Siku tukifikia tukawa na umoja wa kupambana na hawa mafisadi kwa nguvu hii, hakika watanyooka na watakuwa na hofu.Wabongo n wazee wa kwenda na trending watu wanaiba uko tuko kimya tu
Hao ni wahuni kwa uhuni walioufanya.Hakuna muhuni pale wale maboya tu wanaojifanya wahuni.
Mambo yao ya kuigaiga sasa yamewatokea puani watajuta kuzaliwa.
😁😁
Nilivyomuelewa huyo jamaa anawachukulia wahuni kama watu wenye IQ kubwa jinga kabisa.Hao ni wahuni kwa uhuni walioufanya.
Hata hao waliofanya kitendo hicho Huenda nao wanalaani!Watuambie nini wamefanya, kulaani kila mtu amelaani.
Hii dunia asilimia 93 ya mambo tunayoaminishwa ni uongo,kwa mfano,Democrats walisema Biden yuko fit,cha ajabu Mzee anasahau Hadi waziri wa ulinzi,kwanini watumishi kwenye mambo ya msingi ya kitaifa wanakua waongo sana?
wanadanganya wananchi,wanamdanganya mpaka Rais!.
👆😅🤣cha ajabu Mzee anasahau Hadi waziri wa ulinzi,
Two wrongs do not make rightKwakweli Yule aliyeagiza ule unyama should be raped in public hwdi ajisaidie
CCM waendelee kuiba kura na wao wasipigwe , wapinzani watulie?Two wrongs do not make right
Dogo janja yule tumeishi nae sana mtaani hukuNasikia yule mtoto anamiaka 17 so sad yan
Uzushi dogo mama yake yupoMama wa binti amefariki dunia...bila shaka ni ugonjwa wa moyo
Mjeda mmojaNinazo video zote 3, naongea nilichokionaa, wale sio wajeda ni vibaka wa mtaani.
Mjeda ni m1 tyuh palee. Em hukoo mxxxxiiiiieeeeeew