mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hapana hao ni wavuta bangi tu fulani walibahatika kuingia jeshini halafu bado wanaendeleza usela mavi.Naanza kuamini msemo wa Mchungaji Jacob kule Youtube.
Hawa ndio wasiojulikana wanaotumiwa na watu waovu...ukitekwa tu wanatumwa kukula kiboga.
Wasiojulikana ni watu tofauti wanaofanya matukio ya kinyama kwa kuahidiwa pesa nyingi au wanalipwa pesa nyingi na wanapewa maisha ya juu kwa kutekeleza matukio ya kinyama.