Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Naanza kuamini msemo wa Mchungaji Jacob kule Youtube.

Hawa ndio wasiojulikana wanaotumiwa na watu waovu...ukitekwa tu wanatumwa kukula kiboga.
Hapana hao ni wavuta bangi tu fulani walibahatika kuingia jeshini halafu bado wanaendeleza usela mavi.
Wasiojulikana ni watu tofauti wanaofanya matukio ya kinyama kwa kuahidiwa pesa nyingi au wanalipwa pesa nyingi na wanapewa maisha ya juu kwa kutekeleza matukio ya kinyama.
 
Je, unakumbuka tukio la yule Boss aliyekuwa Wizara ya Fedha ambaye alitekwa Dsm na 'watu wasiojulikana' na Kisha siku chache baadaye Polisi walidai kuwa maiti yake iliokotwa porini huko Mkuranga mkoani Pwani? Unakumbuka tukio hilo??
Somebody Jina lake sijui anaitwa Lwajabe, Kama sikosei
 
Kazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.

Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.

Mbona wanaungana kutunga nyimbo za kusifia sifia. Ni njaa tu na uchawa tu.
 
Ona pimbi huyu, nchi nzima ina watu tisa tu mnataka kututisha watu zaidi ya 30M? Hata mje na AK47 sisi tubebe mapanga nakuhakikishia hamtatuweza, kagame anawajaza ujinga sana.
Endelea kua mjinga kwa kudhani vita ni idadi. Nchi yenu inaingilika na kutoka kirahisi. Mmejazana watu msio na uzalendo. Wewe ni kwa sababu ni layman mmoja huna unalojua zaidi ya kudanganywa na wanasiasa wako wanaonunulika.
 
Na wewe utafanya kazi gani kama hawa walinzi wetu wataanza uzalishaji waache kutulinda wakati tunazalusha? Kwa mfano Jirani wanasema ziwa ni lao mpaka ufukeni huwezi kuvua samaki wala kuchota majk, kuogelea , je nani anafanya uweze kuoga , nk? Mtu mmoja asikufanye usahau manufaa yote hayo.
Umeelewa maana ya kufanya kazi Kwa rotations ?
Hii nchi haijawahi kuwa na ukosefu wa walinzi , kwanza polisi na jwtz hao vibaka wanalinda nini nchi hii ?
Hawa wapuuzi waliowahi mdunga mtu sindano ya sumu na kupora pesa zake , hawa washenzi wana tofauti gani na majambazi au wakora wa huku mitaani ?
Wapuuzi wanakula mishahara ya bure na kupata muda wa kuanza kuwaza kubaka raia , dawa ni kuwakeep busy na kuwanyooshea kwa kazi za shuruba wasahau hata kuwaza ngono na adabu iwaingie vizuri
 
Kazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.

Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.
Mbona jana Zuchu kaongea kwa hisia kubwa sana....uwe unasikiliza taarifa ya habari......unapitwa na mengi 😀 😀
 
Back
Top Bottom