Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Wabongo n wazee wa kwenda na trending watu wanaiba uko tuko kimya tu
Siku tukifikia tukawa na umoja wa kupambana na hawa mafisadi kwa nguvu hii, hakika watanyooka na watakuwa na hofu.
 
Hii tabia ya wanajeshi wetu kubaka haijaanza leo. Ipo na wanailea.
Mnakumbuka Central Africa wanajeshi wetu walifurushwa baada ya kuhusika na tukio kama hili.
 
Kwakweli Yule aliyeagiza ule unyama should be raped in public hwdi ajisaidie
 
Waziri wa Ulinzi nae anasema hili jambo lipo mikononi mwa Polisi. Sasa hata hapo jeshini sikun MP,kwa nini wasiwakamate na kuwapeleka Polisi?
 
Ninazo video zote 3, naongea nilichokionaa, wale sio wajeda ni vibaka wa mtaani.

Mjeda ni m1 tyuh palee. Em hukoo mxxxxiiiiieeeeeew
Mjeda mmoja
Service men wawili
Makuruti wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…