Pole sana kilaza wa jeshiUna Akili ndogo mno sijui unawezaje kuishi kwa akili hizo
Waziri kasema tu "tayari" bila kuongeza nenoSioni sehemu ya maelezo km wamakamtwa ,km wako kambini Nani kawakamata ? Police au Jeshi ?
Nitumie. Tugawane dhambi kama hivoNinazo video zote 3, naongea nilichokionaa, wale sio wajeda ni vibaka wa mtaani.
Mjeda ni m1 tyuh palee. Em hukoo mxxxxiiiiieeeeeew
Taarifa ya Polisi inasemajeWaziri kasema tu "tayari" bila kuongeza neno
Uchunguzi bado unaendelea...Taarifa ya Polisi inasemaje
Tutayasikia mengiHamna ukweli
Itakuwa ndivyo anavyowachukulia, uhuni ni tabia za hovyo na itabaki kuwa hivyo.Nilivyomuelewa huyo jamaa anawachukulia wahuni kama watu wenye IQ kubwa jinga kabisa.
Hapa nilitamani Sana kucheka ILA mamamkwe wangu yupo hapa ananiangalia atafikiri ninacheka wigi lakeeeProbably, mwanaume rijali lazma ambato minimum ni 3 times a week. Sasa umeoa mke halafu anakupiga konga daily mara ooh nimechoka mara we unawazaga K tu. Kwa hali hiyo lazma utafute pa kusagia valve.
Wanachunguza,bado hajakamatwa mtuUchunguzi bado unaendelea...
Je, unakumbuka tukio la yule Boss aliyekuwa Wizara ya Fedha ambaye alitekwa Dsm na 'watu wasiojulikana' na Kisha siku chache baadaye Polisi walidai kuwa maiti yake iliokotwa porini huko Mkuranga mkoani Pwani? Unakumbuka tukio hilo??
Somebody Jina lake sijui anaitwa Lwajabe, Kama sikosei
BadoWanachunguza,bado hajakamatwa mtu
π π πDah mgalatia mwenzetu katuangusha sana. Mimi nilijua kabisa mwamba ni Kobaaz.
adriz hydroxo Kosugi The Icebreaker Accumen Mo Mlolongo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hapa nilitamani Sana kucheka ILA mamamkwe wangu yupo hapa ananiangalia atafikiri ninacheka wigi lakeee
π€£π€£π€£ππ
Na mm mkuuππDyadyaa, ngoja nikufanyie mafekechee utaikuta PM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaa!Leopold Lwajabe.
Hata Ben Watch-Eight simu yake ilisoma maeneo ya Mburahati.
View attachment 3064251
Mimi nitakuwa afandeIkifika zamu yangu.....
Dada pole sanaKwa kuwa walikua wengi, ila wajeda enyewe wana vibamia na hawana nguvu za kiume, mxxxxiiiiieeeeeewwwe!!.