Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Aliyewatuma kazi hiyo naye amekamatwa! Au wanaume tu ndiyo wanakamatwa, aliyekula njama aliyewalipa na aliyebuni
 
Probably, mwanaume rijali lazma ambato minimum ni 3 times a week. Sasa umeoa mke halafu anakupiga konga daily mara ooh nimechoka mara we unawazaga K tu. Kwa hali hiyo lazma utafute pa kusagia valve.
Hapa nilitamani Sana kucheka ILA mamamkwe wangu yupo hapa ananiangalia atafikiri ninacheka wigi lakeee
🤣🤣🤣🙌🙌
 
Je, unakumbuka tukio la yule Boss aliyekuwa Wizara ya Fedha ambaye alitekwa Dsm na 'watu wasiojulikana' na Kisha siku chache baadaye Polisi walidai kuwa maiti yake iliokotwa porini huko Mkuranga mkoani Pwani? Unakumbuka tukio hilo??
Somebody Jina lake sijui anaitwa Lwajabe, Kama sikosei

Leopold Lwajabe.

Hata Ben Watch-Eight simu yake ilisoma maeneo ya Mburahati.

1723086236526.png
 
Geto lililotumika kufanyia unyama lilikuwa ni la askari Magereza
 

Attachments

  • 20240808_074912.jpg
    20240808_074912.jpg
    138.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom