Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.
2. Wataje makabila yao.
3. Wataje kazi zao n marafiki zao.
Hii ni kuwatia shame na kuwaacha na sonona.
 
Hii hata shetani anawashangaa Kuwa Toka Agano la kale PALE MUNGU ALIPO ipiga kibiriti Sodoma na Gomora Hadi Agano Jipya sijaona ayat Tena kwenye Biblia Takatifu Watu walio fanya uovu huo!
Labda kwenye Quran tukufu ruksa Mtujuze!
 
Ambao hatujaona hizo clip hizi tuhuma tutaziamini vipi tutendeeni na sisi haki ya kikatiba yujiridhishe kwanza ndipo tujue kama kweli walifanya makosa au laaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…