Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wapo mtaani hawajakamatwa toka lini taarifa ya waharifu wasitoe Polisi atoe Waziri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwananchi update sekunde chache tu zimepitaTupe source: isiwe ile habari ya gazeti la Mwananchi la jana ambalo alisema vyombo vya dola vinakanya kazi wewe umeengeza yako
Watu wako makini, hawawezi fanya huo ujinga hao polisi.Tunahitaji kuwaona live wakiwa mikononi mwa Polisi kwa sababu tunawajuwa tulinganishe sura na siyo hizi ngonjera za Mwananchi digital.
1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake

- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Hawa akiwa mmojawapo ni family member wenu mnatakiwa kumtenga na ukoo.1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.
2. Wataje makabila yao.
3. Wataje kazi zao n marafiki zao.
Hii ni kuwatia shame na kuwaacha na sonona.
Hii hata shetani anawashangaa Kuwa Toka Agano la kale PALE MUNGU ALIPO ipiga kibiriti Sodoma na Gomora Hadi Agano Jipya sijaona ayat Tena kwenye Biblia Takatifu Watu walio fanya uovu huo!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Siyo kutengwa, kutupwa shimo la tewa.Hawa akiwa mmojawapo ni family member wenu mnatakiwa kumtenga na ukoo.
Hebu nitumie hiyo video pm
Ulitakiwa kuandika bibobuYes my love..
Ambao hatujaona hizo clip hizi tuhuma tutaziamini vipi tutendeeni na sisi haki ya kikatiba yujiridhishe kwanza ndipo tujue kama kweli walifanya makosa au laaaaaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Ndo nn😂Ulitakiwa kuandika bibobu