Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila video imenikera sana.Hawanaa jipyaa bhanaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kvpiii tenaaa?Ila video imenikera sana.
Wamekadhalilisha kadada ka watu bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kvpiii tenaaa?
Kwani hakua anatembea na mume wa huyo mtumaji?Wamekadhalilisha kadada ka watu bure.
Halafu utashangaa kisa cha mume kutoka nje ya ndoa ni kunyimwa unyumba na mkewe.Hivi huyo mama atabakisha na kulawitisha wadada wangapi wa mume wake...mambo mengine ukiona yamekua too much..ni bora ku move on mwenyewe...mwanaume mkware labda akatwe tuu hyo mbombo yake...mengine ni kujichosha tuu...
Shida kurekodi na kutupia mitandaoni kitawacost sana, bora wangepiga kimya tu.Kwani hakua anatembea na mume wa huyo mtumaji?
Naunga mkono hoja...kama unamnyima mumeo waache watu waliweee..Halafu utashangaa kisa cha mume kutoka nje ya ndoa ni kunyimwa unyumba na mkewe.
Kuna wanawake ni vichaa kabisa, wanawatreat vibaya waume zao, waume wakitoka kukosha rungu nje mwanamkee kichaa anarukwa akili wakati asubuhi katoka kumnyima papuchi mume wake.
Hatuwezi kuacha kutafuna michepuko mpaka wanawake warudi kwenye mstari na watambuwe wajibu wao kama mke ni nini.
Lengo lilikuwa kumdhalilisha hapo wenyewe wanaona wamemkomesha kumbe wamekamilisha ushahidi kirahisi.Shida kurekodi na kutupia mitandaoni kitawacost sana, bora wangepiga kimya tu.
Umewahi kuliwa na mjeda ama?Kwa kuwa walikua wengi, ila wajeda enyewe wana vibamia na hawana nguvu za kiume, mxxxxiiiiieeeeeewwwe!!.
Wanawake wengi hawajui wajibu wao wa ndoa.Naunga mkono hoja...kama unamnyima mumeo waache watu waliweee..
Hawa viumbe huwezi kuwaelewa.Halafu utashangaa kisa cha mume kutoka nje ya ndoa ni kunyimwa unyumba na mkewe.
Kuna wanawake ni vichaa kabisa, wanawatreat vibaya waume zao, waume wakitoka kukosha rungu nje mwanamkee kichaa anarukwa akili wakati asubuhi katoka kumnyima papuchi mume wake.
Hatuwezi kuacha kutafuna michepuko mpaka wanawake warudi kwenye mstari na watambuwe wajibu wao kama mke ni nini.
Hapoo sawaa!!Shida kurekodi na kutupia mitandaoni kitawacost sana, bora wangepiga kimya tu.
Washaonesha siyo makiniJeshi makini lingewatoa hawa wahalifu kabla ya polisi kuwakamata.
Jamii haitaki kuzungumzia msingi wa tatizo ni nini?Hawa viumbe huwezi kuwaelewa.
Mwanaume ananyimwa tunda lakini haruhusiwi kwenda kwingine.
Huu ni unyanyasaji ambao hautiliwi mkazo Kwa sababu hufanyika mafichoni chumbani.
Naona kama kajibu kinamna sana.. Nina mashaka kama ni kweli wameshatiwa nguvuniWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya