Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Lazima wapandishwe court marshal, wafukuzwe kazi halafu wanakabidhiwa Polisi wakiwa ni raia wa kawaida.Jeshi makini lingewatoa hawa wahalifu kabla ya polisi kuwakamata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima wapandishwe court marshal, wafukuzwe kazi halafu wanakabidhiwa Polisi wakiwa ni raia wa kawaida.Jeshi makini lingewatoa hawa wahalifu kabla ya polisi kuwakamata.
Kajibu ilimradi kumridhisha muuliza swali.Naona kama kajibu kinamna sana.. Nina mashaka kama ni kweli wameshatiwa nguvuni
Jibu lenyewe eti Whattsapp "Tayari"😄😄Naona kama kajibu kinamna sana.. Nina mashaka kama ni kweli wameshatiwa nguvuni
Wazazi wao watajwe kwani wazazi ndo waliwatuma? Marafiki kwani ndo waliwatuma? Usimamizi wa sheria hauhitaji mihemko ndo maana watuhumiwa wote wanayo haki ya kisheria kuwa na mawakili1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.
2. Wataje makabila yao.
3. Wataje kazi zao n marafiki zao.
Hii ni kuwatia shame na kuwaacha na sonona.
Mimi kama ni wakili siko tayari kuwatetea wateja wa namna hiyo.Wazazi wao watajwe kwani wazazi ndo waliwatuma? Marafiki kwani ndo waliwatuma? Usimamizi wa sheria hauhitaji mihemko ndo maana watuhumiwa wote wanayo haki ya kisheria kuwa na mawakili
Ni wewe ndo haupo tayari ila wanayo haki ya kuwa na wakiliMimi kama ni wakili siko tayari kuwatetea wateja wa namna hiyo.
Jinai yao iko wazi pasi na shaka yoyote with vivid evidence, sasa hapo mtu timamu unawatetea nini?
Jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani. Yaani baada ya US, Russia, UK, France, Germany ni sisi. Kumbuka hilo ohooo! 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Kwa kuwa walikua wengi, ila wajeda enyewe wana vibamia na hawana nguvu za kiume, mxxxxiiiiieeeeeewwwe!!.
Na mawakili wanayo haki ya kuwakataa kusimamia kesi yao.Ni wewe ndo haupo tayari ila wanayo haki ya kuwa na wakili
Naona kama kajibu kinamna sana.. Nina mashaka kama ni kweli wameshatiwa nguvuniWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Hii ishu inahusisha majeshi yetu ya usalama na hapo kuna swala la NIDHAMU hivyo wanai handle kwa umakini mkubwa sanaKajibu ilimradi kumridhisha muuliza swali.
Mkuu hebu fafanua kidogo. Hii inahusianaje na hawa mbwa kumbaka huyu binti? 😳Jamii haitaki kuzungumzia msingi wa tatizo ni nini?
Tatizo ni wanawake wakiolewa wanaota mapembe na kugeuza ndoa ni jukwaa la mashindano.
Meanwhile wanawake haohao ukimpa cheo cha nyumba ndogo anakupa heshima zote na unamgegeda muda wowote unaojisikia hupangiwi uchi wa mgao na anakutii.
Kinyume chake mke wa ndoa anageuza nyumba uwanja wa mabishano, hana heshima, na uchi wake akupe anavyojisikia yeye, wewe uwe kama sex toy yake tu na hapa wahusika ni wanawake wenye viajira vyao vimewatia ujinga kufikia kudhani nafasi ya mwanaume kwenye nyumba inaweza kuwa replaced, never.
Tutaendelea kuwala wanawake wanaojuwa kutreat mwanaume na hao wote hawajaolewa, walioolewa tiwaache wakae na viburi vyao.
Kuwa na haki ni kitu kingine na mawakili kukataa ni kitu kingine ndo maana siyo kila mtuhumiwa ana wakili lakini haimaanishi hana haki ya kuwa na wakili.
Sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani. Yaani baada ya US, Russia, UK, France, Germany ni sisi. Kumbuka hilo ohooo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nitashangaa sana hilo likitokea.Lazima wapandishwe court marshal, wafukuzwe kazi halafu wanakabidhiwa Polisi wakiwa ni raia wa kawaida.
Mtani Lol.Kwa kuwa walikua wengi, ila wajeda enyewe wana vibamia na hawana nguvu za kiume, mxxxxiiiiieeeeeewwwe!!.
Watafukuzwa jeshi baada hukumu wqkibainika .....Jeshi makini lingewatoa hawa wahalifu kabla ya polisi kuwakamata.