Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

To catch a copper
Iko kwenye TV za majuu yaani kama mtu anafanya uhalifu hata awe nani anawekwa hadharani na anapelekwa mahakamani na kuchukuliwa hatua

Kwani aseme tu Ndio kwanini asiiye press na kuwataja mpaka majina yao kwani wao nani kama wanalichafua si ndio mda wa kuwaweka na kuwatenga na jamii?

Hakuna kuficha wahalifu
 
Nitakua mtu wa mwisho kuamini hili,nchii hii vyombo usalama wanabebana sana na kwa jinsi hali ilivyo na hili litapotea kwa matukio mengine. Imagine kuna utekaji ila namba moja kakausha watu wanabakwa namba moja kakausha eti anaenda Moro kufanya shoo na Diamond🚮😁
 
Hivi huyo mama atabakisha na kulawitisha wadada wangapi wa mume wake...mambo mengine ukiona yamekua too much..ni bora ku move on mwenyewe...mwanaume mkware labda akatwe tuu hyo mbombo yake...mengine ni kujichosha tuu...
Halafu utashangaa kisa cha mume kutoka nje ya ndoa ni kunyimwa unyumba na mkewe.

Kuna wanawake ni vichaa kabisa, wanawatreat vibaya waume zao, waume wakitoka kukosha rungu nje mwanamkee kichaa anarukwa akili wakati asubuhi katoka kumnyima papuchi mume wake.

Hatuwezi kuacha kutafuna michepuko mpaka wanawake warudi kwenye mstari na watambuwe wajibu wao kama mke ni nini.
 
Naunga mkono hoja...kama unamnyima mumeo waache watu waliweee..
 
Halafu utashangaa kisa cha mume kutoka nje ya ndoa ni kunyimwa unyumba na mkewe.

Kuna wanawake ni vichaa kabisa, wanawatreat vibaya waume zao, waume wakitoka kukosha rungu nje mwanamkee kichaa anarukwa akili wakati asubuhi katoka kumnyima papuchi mume wake.

Hatuwezi kuacha kutafuna michepuko mpaka wanawake warudi kwenye mstari na watambuwe wajibu wao kama mke ni nini.
Hawa viumbe huwezi kuwaelewa.

Mwanaume ananyimwa tunda lakini haruhusiwi kwenda kwingine.

Huu ni unyanyasaji ambao hautiliwi mkazo Kwa sababu hufanyika mafichoni chumbani.
 
Hawa viumbe huwezi kuwaelewa.

Mwanaume ananyimwa tunda lakini haruhusiwi kwenda kwingine.

Huu ni unyanyasaji ambao hautiliwi mkazo Kwa sababu hufanyika mafichoni chumbani.
Jamii haitaki kuzungumzia msingi wa tatizo ni nini?

Tatizo ni wanawake wakiolewa wanaota mapembe na kugeuza ndoa ni jukwaa la mashindano.

Meanwhile wanawake haohao ukimpa cheo cha nyumba ndogo anakupa heshima zote na unamgegeda muda wowote unaojisikia hupangiwi uchi wa mgao na anakutii.

Kinyume chake mke wa ndoa anageuza nyumba uwanja wa mabishano, hana heshima, na uchi wake akupe anavyojisikia yeye, wewe uwe kama sex toy yake tu na hapa wahusika ni wanawake wenye viajira vyao vimewatia ujinga kufikia kudhani nafasi ya mwanaume kwenye nyumba inaweza kuwa replaced, never.

Tutaendelea kuwala wanawake wanaojuwa kutreat mwanaume na hao wote hawajaolewa, walioolewa tiwaache wakae na viburi vyao.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Naona kama kajibu kinamna sana.. Nina mashaka kama ni kweli wameshatiwa nguvuni
 
Back
Top Bottom