Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

1. WAtaje wazazi wao kwa majina na kazi za wazazi wao.
2. Wataje makabila yao.
3. Wataje kazi zao n marafiki zao.
Hii ni kuwatia shame na kuwaacha na sonona.
Wazazi wao watajwe kwani wazazi ndo waliwatuma? Marafiki kwani ndo waliwatuma? Usimamizi wa sheria hauhitaji mihemko ndo maana watuhumiwa wote wanayo haki ya kisheria kuwa na mawakili
 
Wazazi wao watajwe kwani wazazi ndo waliwatuma? Marafiki kwani ndo waliwatuma? Usimamizi wa sheria hauhitaji mihemko ndo maana watuhumiwa wote wanayo haki ya kisheria kuwa na mawakili
Mimi kama ni wakili siko tayari kuwatetea wateja wa namna hiyo.

Jinai yao iko wazi pasi na shaka yoyote with vivid evidence, sasa hapo mtu timamu unawatetea nini?
 
Naona kama kajibu kinamna sana.. Nina mashaka kama ni kweli wameshatiwa nguvuni
Kajibu ilimradi kumridhisha muuliza swali.
Hii ishu inahusisha majeshi yetu ya usalama na hapo kuna swala la NIDHAMU hivyo wanai handle kwa umakini mkubwa sana
Kwa taratibu za kijeshi itabidi kwanza waafukuzwe jeshini wawe raia wa kawaida ndio wakabidhiwe polisi wafunguliwe mashtaka ambapo tuhuma zao hazina dhamana
Kivumbi kiko kwa boss aliyewatuma! Je jeshi litakuwa tayari kujivua gamba na kumuweka hadharani na kumuunganisha na watuhumiwa wengine? Tuupe muda wakati
 
Mkuu hebu fafanua kidogo. Hii inahusianaje na hawa mbwa kumbaka huyu binti? 😳
 
Na mawakili wanayo haki ya kuwakataa kusimamia kesi yao.

View attachment 3062875
Kuwa na haki ni kitu kingine na mawakili kukataa ni kitu kingine ndo maana siyo kila mtuhumiwa ana wakili lakini haimaanishi hana haki ya kuwa na wakili.
Haki ya kuwa na wakili ni haki ya kila mtuhumiwa.
 
Duniani kote kuna sheria kali za kuwalinda wanawake na watoto dhidi ya vitendo vya kikatili, hili jambo likiachwa lipite bila hatua kali kuchukuliwa litajenga taswira mbaya sana kwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…