Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Nimeomba nielewe kinachozungumziwa baada ya kuona mjadala umekuwa mkubwa na sielewe chochote...Maana wakati nalisikia hili jambo niliona ni kama amabayo nimewahi kuyasikia..Kweli unataka kuona mtoto akibakwa? Ukiombq kuona hio video maanake unataka kuona mtoto akibakwa. It's sad.
Kwani wewe hujaiona?