cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hadi muda huu siaminii km wale ni wajeda, inawezekana ni yule m1 ambaye wasifu wake unatambulishwa wazi.Daah! Tutayasikia mengi sana Mtani.
Saa ingine ukute ni Wahuni tu na hicho walichofanya ndio kazi zao, hapo sababu wamemtaja Afande basi wamegeuzwa gumzo na kupewa vyeo visivyo hata vyao kama yule muuza madafu.
Nachokihisi mie, yule jamaa anayewekwa wazi ndo mjeda alotumwa na boss wake, yeye akaenda kutafuta vibaka wa mtaani na kuingia nao mzigoni.
Makomando ndo wawe vilee huu utani wa wazi wazi, wallah. Khaaah
Aaaaaah wee!!!