Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
akina lisu haokwanini watumishi kwenye mambo ya msingi ya kitaifa wanakua waongo sana?
wanadanganya wananchi,wanamdanganya mpaka Rais!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akina lisu haokwanini watumishi kwenye mambo ya msingi ya kitaifa wanakua waongo sana?
wanadanganya wananchi,wanamdanganya mpaka Rais!.
YesKabisaa yaan, isije tunapigwa changa la macho. Lol
Basi nakufata ili nikupateee!! Usijar relaaaaxxAcha hizi, unajua jinsi ya kunipata.
Alafu nyie mnaotambaga huku nje hamna lolote,mkipelekewa moto kidogo huko ndani tayari mnaanza kumwita yesu na Maria, mara mungu wangu,huku mnatetemeka mwili mzima!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili liko ndani ya uwezo wangu bhanaa, afu mbona hakuna chochote kipyaa.
Wee unaonajee?
Chaumbea ni kweli ni askari bhana😬😬😬Kwenye captain kutuma vijana wafanye revenge kwa huyo mtoto naamini, ila hawa vijana kuwa ni wajeda na ni makomandoo, hapa hapanaa hadi muda huu nakataaa.
Hawa ni vibaka wa mtaani tyuuh.
Jamani em kuweni serious, askari wamekauka vilee? Nguvu za kupekeka moto hawana, wamebaki mafujo uchwara na kutishia mtoto kwa chupaa,Chaumbea ni kweli ni askari bhana[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mtoto yule amewamudu vilivyo, ndo waje kwa konker??Alafu nyie mnaotambaga huku nje hamna lolote,mkipelekewa moto kidogo huko ndani tayari mnaanza kumwita yesu na Maria, mara mungu wangu,huku mnatetemeka mwili mzima!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subiri taarifa rasmi ila ndio hivyo ila imeniumiza sana sijui tunakwenda wapi daahJamani em kuweni serious, askari wamekauka vilee? Nguvu za kupekeka moto hawana, wamebaki mafujo uchwara na kutishia mtoto kwa chupaa,
Wanaongea maneno makali, na vile viba100 vyao, woiiiiiih.
Wapo km wapiga vigoma wa manzese darajani, aaah wee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka tuone pichaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Yaan had nione picha wakiwa na gwanda za jeshi, ndo ntaamini.Subiri taarifa rasmi ila ndio hivyo ila imeniumiza sana sijui tunakwenda wapi daah
BabebibobuNdo nn😂
Sioni sehemu ya maelezo km wamakamtwa ,km wako kambini Nani kawakamata ? Police au Jeshi ?Ama kweli waandishi wape kichwa tu, maelezo watatoa wao.
Jamaa kasema "tayari" tu dadeki wajuba wameleta uzi wa maelezo buku.
Dah angelikuwa mama ako ndio aliefanyiwa vile sijui ungesema ivo ivoWatu wanavolipambania hili swala 😂🙌………. Tungekua tuna pambania na rasilimali zetu hivihivii kwa sauti moja tungekua mbalii sanaa 😂😂😂
Mpaka tuone picha
Naona konker wwe ndiyo ungewazimisha wajeda na vibamia vyao, saa hii wwe ndiyo ungekua unatafutwa na police baada ya kuwazimisha wajeda watano kwenye game la kubakana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mtoto yule amewamudu vilivyo, ndo waje kwa konker??
Aaaaah wee!!