Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Wanai
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
WANAWAONEA TU VIJANA MWANAMKE MWENYEWE MALAYA TU, MBONA ALIKUA ANATOA USHIRIKIANO MAUNO FENI IKICHOMOKA ANAIRUDISHA CHAPU
 
Em kuweni serious, wale vijana ni askari? Tena wa JWTZ?
mbona nazidi kupata taharukiii, wallah. Lol
Kwani jewitz wa bongo hujawazoea tu maana wengi wao
Hawajitambui

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo, mbona yule jamaa hana maajabu, zaidi ya kubweka na maneno makaliii.

Imagine anaongea sex Words na boxer haituni hata kdg, kanishangazaa mnooo,

Aaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu wwe unapenda sana kuangalia zipu na frize za wanaume,kumbe ndiyounapimisha!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Huyo Wazir hatabiriki unaweza Kuta kaamua kutamka hivyo kuzima moto tu.
 
Back
Top Bottom