Watuma salamu maarufu waliotamba kwenye vipindi mbalimbali vya Redio

Watuma salamu maarufu waliotamba kwenye vipindi mbalimbali vya Redio

Fundi Hamisi full migebuka [emoji116][emoji116]
IMG_20220603_121731.jpg
 
Kuna Paul misalaba wa namanyire nkasi

Golgota magabe wa shinyanga

hao huwa wakosekani ktk kipindi Cha ddw matangazon ya mchana kutoa kero au kupanda katka jukwa la manufa
Huyo Paul Msalaba nilipofika namanyere-Nkasi nilimtafuta ili nimuone kabisa kwasababu sio kwa kutuma salamu zile kwa wingi tena kila siku pale DW
 
Mimi nakumbuka wakati mechi zinatangazwa kupitia R.T.D ilikua wakati wa half time kuna salam walizotuma watu zilikua zinasomwa,

Utasikia "Simba team funga hao Yanga mpaka wasione mlango wa kutokea,huu mwaka ni wetu"

Ilikua burudani sana.
Hadi Leo ukisikiliza TBC taifa hao watuma salamu za kugombea timu Fulani ifungwe bado wapo..Utamsikia yanga funga hao Azam goli mbili bila,alafu kipindi mtangazaji anasoma Tyr yanga wameshachezea kimoja na Mechi ipo dakika ya 88..unaishia kucheka Tu[emoji28]
 
Kuna yule wa Makongorosi Chunya namkumbuka kwa jina 1 tu la Masumbuko,halafu kuna bingwa wa kuning'inia kwenye tawi la mchicha,nafikiri huyu atakuwa wa Dodoma.
Huyu wa kuning'inia kwenye Tawi la mchicha nimecheka sn asee[emoji28]..alafu siyo tu ananing'inia,bali pia bingwa wa kuning'inia' ahahaha

Time is fleeting!!
 
Huyu LAWENA MSONDA nilikuwa napenda sana kumsikia amepiga simu kipindi cha "Ushauri wako" redio Free Africa. Naye alikuawa anapenda kupiga simu kipindi kinapotaka kuisha. Kabla unakuta watu wametoa ushauri wao sana wengine michango yao ya fedha na wengine wametoa ahadi au wameshauri client kuenda kwa DC au makanisani ili asaidiwe, then mwishoni anapiga simu baba mzazi baba eee babaaa😀, utasikia huyo Client aje makongorosi Chunya nitamtunza Mimi au nitagharamia matibabu yake yoteeeee😇 basi mimi hadi machozi ya furaha yalikuwa yananitoka aiseee.
 
--Ndugu Dereva Abdala mgeni wa shirika la elimu kibaha.
--Ndugu Abdalah Mpanjinji/
Ndugu Ajali naenda kutoa wa Duka la samaki Newala.
-- Ndugu Bokoman mkongo man.
-- Ndugu salum mwana bongo..
-- Ndugu Gacha s Gacha.
--Ndugu Samata Sultan Samata
 
Back
Top Bottom