opondo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 526
- 1,321
Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote.
Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe.
Nikapata mwingine pia ndani ya dakika 20 ameshafika na Mimi najikuta nimemaliza kuendelea sijui bao 3,4 hiyo ni bonus tu.
Nikadondokea kwa ngumbaru moja hiyo ni noma unapiga mzigo mpaka viungo vyote vinauma anakwambia bado kabisa, juzi nimejikuta napiga masaa matatu then ananiuliza "" hapo ndio umefanya nini sasa Mwanaume unakua livivu livivu tu"...
imagine masaa 3 bado anaona hujafanya kitu?
Mwaka 2023 kiukweli nitaenda na plan mpya nitakua kama kuku, ndani ya dakika 5 nikimaliza naondoka kwenda kujenga taifa, Mambo ya kutumia masaa 3 ni kupoteza muda.
Hupo kwenye kwichikwichi mtu anamuwaza jamaa yake aliyekua anatumia mkongo, he hii ni sahii?
Watumia mkongo msituharibie hiki kizazi.