Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Watumiaji wa simu - mambo yanayokera

Mtu anakutumia sms saa tisa usiku anakuulizia "Umelala"? Mimi huwa nawajibu" Naota jua "
 
Kuna mambo huwa nachukulia kama dharau tu kwakweli, kumtumia mtu text inayohitaji majibu ya haraka then anakuja kukujibu baada ya siku 5, huwa natamani hata kutukana basi tu.
Mtu kama huyu hunikera pia tena sana, na pindi akini jibu baada ya siku kama mbili sikawii kufuta namba yake au na mjibu short tena kwa herufi kubwa(jinsi gani nimemdharau)
 
Haha mtu anauliza swali anatuma neno kiulizo anaweka kwenye text nyingine...na huu mtindo umeanza baada ya simu janja na hivi vifurushi vya unlimited sms mbona enzi zile sms moja unatuma kwa sh 59 watu walikuwa hawafanyi huu ujinga
Nilijiuliza haya majina ya watu kwenye simu yangu yamefika 236... Hivi nawajua wote na tunahitajiana kweli? Nimebadilisha Makazi kadhaa na shughuli zake pia. Naona kwa sasa yamebaki 128, Wiki lijalo naendelea na zoezi la kuwapunguza hafi yafike 50.
Kuna namba za ndugu humu mwaka wa 3 sasa kila mtu na lake nahatujawahi kuwasiliana.
 
Namba ya ndugu muhimu boss yaani mimi ndugu yangu sijui anifanyie nini ndio nifute namba yake huwezi jua ya kesho
Nilijiuliza haya majina ya watu kwenye simu yangu yamefika 236... Hivi nawajua wote na tunahitajiana kweli? Nimebadilisha Makazi kadhaa na shughuli zake pia. Naona kwa sasa yamebaki 128, Wiki lijalo naendelea na zoezi la kuwapunguza hafi yafike 50.
Kuna namba za ndugu humu mwaka wa 3 sasa kila mtu na lake nahatujawahi kuwasiliana.
 
Yani hapo uliponimention umepatia haswa. Yani unaishia kujiuliza huyu alikuwa na intention gani, maana haeleweki. Mwingine after series ya salamu kama tupo RTD anakwambia "nambie", sijui nimwambie nini.
Ole wako unikatie simu wakati sijaaga na mimi ndo nimekupigia, labda uwe mtu baki.
 
Wakati naomba kazi fulani related to customer serving nilitegwa na kupigiwa simu na namba mpya kadhaa muda ambao sio wa kazi maswali yakipumbavu niliyoulizwa ningejibu nyodo ingekula kwangu.
Ilikuwa indirect interview.
 
Kama upo hivyo kwenye kuangalia blue tick na mie huwa nakereka mtu akikomaa nimekutumia msg nimeona blue tick ukauchuna (na mie huwa naamini mtu anaehitaji kitu cha muhimu lazima atapiga ama atatuma sms ya kawada ambayo uwe na kifurushi huna kifurushi itaingia (lazima nitamchimba mkwara wakati message inaingia nilikuwa na bundle yaani 4MB yaani muda ule ule nataka kujibu ikakata (maana kuna watu message za muhimu wanatuma kuitia whatsapp ambayo ni subject to bundle kwa mpokeaji hao mie ndo hinikera)
Sasa mimi nakutumia text ya muhimu ni kivip mtu una soma alafu una acha... mimi niki ona mtu kafanya ivo na mimi ndo basi siwezi kuja kumtafuta ata niwe na shida gani
 
Haha boss unafuta hadi namba...mi naacha ila simu simpigii
heri ya wewe. nikukupigia simu siku yakwanza hujapokei siku pili , siku ya tatu hupokei na wala huangaiki kunitafuta sioni umuhimu wa kuwa na namba yako. naamini hata kama ninashida nimezidiwa kiafya siwezi kupata msaada kwako
 
Haha sasa si umuambie ulilonalo unashindwa kusema naomba hela?
Yani hapo uliponimention umepatia haswa. Yani unaishia kujiuliza huyu alikuwa na intention gani, maana haeleweki. Mwingine after series ya salamu kama tupo RTD anakwambia "nambie", sijui nimwambie nini.
Ole wako unikatie simu wakati sijaaga na mimi ndo nimekupigia, labda uwe mtu baki.
 
Haha ukisema mi wa nini mimi nasema we wa kazi gani
Nilishasema, ifikie mahali tuheshimiane na tuthaminiane. Ujikute wewe tu ndio mwenye Thamani! Kwangu hapana kabisa.
 
Kuna mambo huwa nachukulia kama dharau tu kwakweli, kumtumia mtu text inayohitaji majibu ya haraka then anakuja kukujibu baada ya siku 5, huwa natamani hata kutukana basi tu.
isije ikawa ile ya "Bby nkwambie kitu" tutaendelea kulaumiana mpaka awamu ya bwana stone ipite!
 
Wakati naomba kazi fulani related to customer serving nilitegwa na kupigiwa simu na namba mpya kadhaa muda ambao sio wa kazi maswali yakipumbavu niliyoulizwa ningejibu nyodo ingekula kwangu.
Ilikuwa indirect interview.
Hao walikuweza kweli madam
 
Wakati naomba kazi fulani related to customer serving nilitegwa na kupigiwa simu na namba mpya kadhaa muda ambao sio wa kazi maswali yakipumbavu niliyoulizwa ningejibu nyodo ingekula kwangu.
Ilikuwa indirect interview.
Hao walikuweza kweli madam
 
Mtu kama huyu hunikera pia tena sana, na pindi akini jibu baada ya siku kama mbili sikawii kufuta namba yake au na mjibu short tena kwa herufi kubwa(jinsi gani nimemdharau)
Hao wanaotumia herufi kubwa mwanzo mwisho wanakera aisee,
 
Back
Top Bottom