Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

Naona umedhamiria.. unaandika gazeti kama kule statuz[emoji3][emoji3]
 
Walete mabadiliko mengi kama vile ilivyokuwa GB WHATSAPP na siyo mabadiliko kidogo kidogo yanayo chukua miaka na miaka, mbona Gbwhatsap mambo yalikuwa safi ndani ya muda mfupi sana.
Wazungu ndivyo walivyo linapokuja swala la software wako slow sana kuleta updates za maana, ona china softwares zao zipo simplified ma zina mambo mengi mnooo, angalia pia Telegram, kuna mtu leo angeamini telegram ingekuja kuwa na watumiaji wengi kiasi hiki, na amini usiamini WHATSAPP inaenda kuzidiwa lwa watumiaji wengi Na TELEGRAM.

Whatsapp ipo nyuma sanaaa yani
 
Now days WhatsApp status kwenye list ya contacts zangu naona hakuna cha maana aisee ni memes ...video za kipuuzi tuu...kuna wale wanaweka status mpk inakua vidoti
[emoji23][emoji23][emoji23] na sasahiv wamewekewa sekunde 60 mbona itakua balaa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na sasahiv wamewekewa sekunde 60 mbona itakua balaa..
Aiseee yani ni ku mute tuu mana hakuna cha maana kama hutaki kumaliza MB zako bora watu uwa mute maana ukiangalia every single day mtu anapost memes zinafika mpaka ike cycle inakua vi nukta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…