Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

Unlimited ya halotel ya 1500 kuanzia saa 6 usiku to saa 12 atakuwa anakesha dah.

Haya mambo yana watu wake, akina DJ mack, Dj Murphy kwenye download movie.

Subilia wataalum wa heavy user wanakuja
Hivi mnadhani ni Movie tuu ndio zinakula bando eeh? hamjui matumizi mengine

tofauti na kudownload movie huko kwenye internet?
 
Wakuu nasumbuka sana, nimenunua smile kumbe ni hovyo, halotel nayo hovyo japo wanaisifia hapa, labda wameiboresha? Ttcl ndo takataka kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app


soma hii comment hapa chini halafu rudi tumia Halotel tena baada ya kuielewa hii comment vizuri

👇👇👇

 
Kuna Jamaa alisema ZUKU wana internet very cheap...ni FIBER na unapewa na IPTV.. hebu check kwa website yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni kweli boss, huduma ya zuku ni nzuri na ni bora kabisa kwa sasa, wateja wetu wengi wanaipenda mnoo, jamk
Wakuu nasumbuka sana, nimenunua smile kumbe ni hovyo, halotel nayo hovyo japo wanaisifia hapa, labda wameiboresha? Ttcl ndo takataka kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu karibu zuku fiber, changamoto tupo maeneo haya, masaki, msasani,kinondoni,upanga, kkoo na oysterbay. Internet ya uhakika na yenye kasi. Tuwasiliane.
 
soma hii comment hapa chini halafu rudi tumia Halotel tena baada ya kuielewa hii comment vizuri

👇👇👇
Vipi Halotel wanakuwa na moderm za ku support hiyo speed, maana natumia kwenye comuter mainly, sasa kutumia hotspot ya simu sana kumeua betri ya simu yangu
 
Vipi Halotel wanakuwa na moderm za ku support hiyo speed, maana natumia kwenye comuter mainly, sasa kutumia hotspot ya simu sana kumeua betri ya simu yangu
Mimi ni mgeni kwenye Halotel,baada yakufungua hii thread

ndio nikagundua kuhusu hiyo Halotel acha niijaribu nataka kuona

kama kweli ni Unlimited kama inavyosemekana hapa jukwaani.
 
kwann mpo tu huko mjini tu na msije huku ndani ndani kama wenzenu?
 
Mkuu pole Sana. Na mimi naomba kuulizia Kama una namna naweza pata free DStv mkuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Zuku unaipataje?? Sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye nimewapikia chai,mimi sinaga Muda kumuelekeza mtu

kitu ninachofanya maana hakiwezi kukusaidia kwa namna yeyote ile.
Numbers never lie, kwa hicho Kifurushi cha 5 megabits per second ni ndoto kutumia hayo matumizi yako mkuu, au ulisahau kuongeza sifuru kwenu hio 5
 
Line yoyote ya kawaida na kifurushi ni cha usiku saa 6 mpaka 12 asubuhi.

Simu nimezisort kwa soc ambazo bei zake si ghali sana laki 5 kushuka

Phone Finder results - GSMArena.com
Phone Finder results - GSMArena.com
Phone Finder results - GSMArena.com

Na kwa mimi ninayoikubali ni oneplus 5/5t zimeshuka bei sana siku hizi around $200 na zina specs nzuri.
 

Chief nina swali,kati ya simu na hizi Router kama tp link na d link au kina netgear

ipi Bora kiufanisi? kwasababu lengo si mawasiliano lengo ni internet na speed nzuri

sasa kati ya hizo simu hapo juu lizoniorodheshea na hizi router kwa ushauri wako

wa kitaalamu unashauri mtu anunue simu au anunue hizi router? na katika hizo router

ni zipi unazozikubali kwa utendaji kazi uliotukuka? nazo umeziweka ktk makundi kama simu

au zenyewe umeziweka ktk mpangilio wa aina gani,suala letu ni maxmum speed Real 4G

Chief-Mkwawa
 
Most ya hizo router ulizotaja zinakupa wifi ila hazina source ya internet, ili zikupe speed kubwa itabidi utumie modem nzuri ama uwe na fiber internet yenye speed kubwa.

Kwa mitandao yetu hii ya kibongo bongo hizi 4g router za kampuni kama Huawei na zte zinamake sense zaidi, tafuta tu angalau yenye Lte Advance speed kuanzia 300mbps. Nyingi zinakuwa ni 150mbps ambazo ni basic lte hazina speed sana. Bila kusahau kuangalia band, halotel ni 2600 ni router chache zina hio band.
 
Halotel Router zao wanaziuzaje kwani na zinapatikana kwa sasa?

kununua router za kampuni sio ndio kufunga NDOA ya mkeka bila shehe hii?

ukitoa router za halotel hamna mahali zinapatikana router zenye simcard slot

ambazo unaipachika line yenye MB unaendelea kuserereka tu? au ni lazima

ukinunua hizi router nilizotaja n lazima niwe na Moderm pia kama source ya net?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…