Ingia Google mkuu andika model hizo hapo juu then search picha zitakuja utaziona.
mimi nipo kazini kwa sasa router ipo nyumbani sipo nayo hapa.
Pitia huu uzi mwanzo mpk mwisho soma comment zote ambazo chief mkwawaMkuu ukiacha picha kuna ushauri mwengine nimeomba pia kulingana na matumizi yangu maana wewe ulikuwa unatafuta za matumizi makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia huu uzi mwanzo mpk mwisho soma comment zote ambazo chief mkwawa
kazijibu nilizomuuliza maswali na alizoulizwa na wengine kisha baada ya kufika
page ya mwisho kabisa naamini utakua umeshagundua kitu hapo ndio nitaomba
uulize swali lolote kwa jinsi ulivyoelewa,soma kwa makini Elewa Hapa ni kama darasa
hakikisha ambapo hujaelewa unauliza kulingana na uhitaji wako,angalia unahitaji nini.
Hebu uliza hasa unahitaji kufahamu/msaada wa nini mkuu?Mkuu nimesoma comments zote ila kwa sababu sio mtu wa IT nimetoka kapa mostly ndo maana nkaomba msaads
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnakula maisha sana mm nikienda mbali ni. 6mbps
Hebu uliza hasa unahitaji kufahamu/msaada wa nini mkuu?
Kama budget yako ni nzuri chukua kama Aliyochukua mkuu CONTROLA maana ni 4g router utaweza kutumia line ya simu na pia ina function kama router ya kawaida kama una vifaa vingine vya ethernet ama wifi nyumbani itaviunganisha.Router gani nzuri ya matumizi madogo ya nyumbani. Kwa pitia uzi huu nimeona bora kuwa na router ambayo inaweza kuingia line yoyote, pia nimeona iwe advance lte. So aina gani ni nzuri na zinapatikana wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni katika kuelimishana tu na kushtuana kama ilivyokua kipindi kile wakati nikijiona mjanja kulipia DSTV package na kupata vitu vizuri kumbe kuna wajanja wanakula channel zangu za DSTV kwa kutumia huduma za cable, FTA DISH, nk nk. Baada ya kusanuka nikaingia ulimwengu ule nilijishangaa sana kwa kuchelewa kujua vitu.
Kama budget yako ni nzuri chukua kama Aliyochukua mkuu CONTROLA maana ni 4g router utaweza kutumia line ya simu na pia ina function kama router ya kawaida kama una vifaa vingine vya ethernet ama wifi nyumbani itaviunganisha.
Router kubwa kama hio inauwezo wa kuunganisha vifaa vyote (bila internet) na kuifanya nyumba iwe connected. Mfano una desktop ama laptop, na smart tv, kupitia tv unaweza ukaangalia movie za kwenye desktop/laptop sababu tayari vipo connected kwenye same network. Unaweza hamisha mafile kwa haraka baina ya simu na simu, kuunganisha remote na tv (inasaidia sana remote og inapopotea ama kuharibika), kustream games toka kwenye pc ama console kama ps3 na ps4 kwenda kwenye vifaa vidogo kama simu, psp etc.
Hivyo ni vyema kwa matumizi ya kifamilia kuwa na router kubwa kama hio hata kama huungi bundle.
Ila kama budget ni ndogo hivi vi mobile wifi vipo vingi sana kuanzia 50,000 unapata mpaka laki 1. Havina functions kama hizo router kubwa ila vinaweza kutengeneza hotspot vizuri tu.
Ttcl wana unlimited za aina mbili znz, kuna Adsl (Nduki etc) hizi ni za bei nafuu na pia speed yake ni ndogo 1mbps kama 35,000 na 2mbps kama 65,000 hivi. Ni tech ya kizamani kidogo.wakuu naomba kuulizia vifurushi vya TTCL Unlimited bei zikoje?
Na jee munaweza kutumia multiple users ndani ya nyumba? kama kwa wenye PC pamoja na smartphones
Channel za dstv huwezi zipata bure kama unatumia Decoder yaoge
mkuu naomba maelewesho kuhusu hilo suala la DSTV, hivi kuna njia ya kuzinyonya au?
Kusema ukweli kukuelekeza duka kwa kuandika siwezi ntaandika gazetiThanks Mkuu
Mkuu Controla naomba unielekeze bei na duka ulilopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema ukweli kukuelekeza duka kwa kuandika siwezi ntaandika gazeti
Bei kwakweli sikuweza linganisha ili kupata utofauti maana hiyo router
nimeikuta kwenye duka 1 tu mengine yote niliyoingia nilikua nakutana na
router za ajabu ajabu,zingine za kutumia modem kiufupi kuna ma router mengi sana
Bei hii ndio ya duka hilo ambapo wao waliniambia wanauza 370,000,nikawatolea
macho kisha nikawambia naomba mnipe discount,wakaniambia mwisho 350,000
nikawambia Mimi sitaki Risiti,naomba bei ya bila Risiti wakaniambia kama
huchukui risiti toa 320,000,mimi nikawambia nina 300k TU wakampgia boss wao simu
akatoa ruhusa nipewe,basi nikapewa kwa bei hiyo so hapo ktk Bei n wewe na mdomo wako.
Mbezi,kibamba,kinyerezi mtaenda lini huko?Yes ni kweli boss, huduma ya zuku ni nzuri na ni bora kabisa kwa sasa, wateja wetu wengi wanaipenda mnoo, jamk
Mkuu karibu zuku fiber, changamoto tupo maeneo haya, masaki, msasani,kinondoni,upanga, kkoo na oysterbay. Internet ya uhakika na yenye kasi. Tuwasiliane.
Uhawei 4G router B315 ipo kundi lipi kati ya hayo uliyouataja hapo?Kama budget yako ni nzuri chukua kama Aliyochukua mkuu CONTROLA maana ni 4g router utaweza kutumia line ya simu na pia ina function kama router ya kawaida kama una vifaa vingine vya ethernet ama wifi nyumbani itaviunganisha.
Router kubwa kama hio inauwezo wa kuunganisha vifaa vyote (bila internet) na kuifanya nyumba iwe connected. Mfano una desktop ama laptop, na smart tv, kupitia tv unaweza ukaangalia movie za kwenye desktop/laptop sababu tayari vipo connected kwenye same network. Unaweza hamisha mafile kwa haraka baina ya simu na simu, kuunganisha remote na tv (inasaidia sana remote og inapopotea ama kuharibika), kustream games toka kwenye pc ama console kama ps3 na ps4 kwenda kwenye vifaa vidogo kama simu, psp etc.
Hivyo ni vyema kwa matumizi ya kifamilia kuwa na router kubwa kama hio hata kama huungi bundle.
Ila kama budget ni ndogo hivi vi mobile wifi vipo vingi sana kuanzia 50,000 unapata mpaka laki 1. Havina functions kama hizo router kubwa ila vinaweza kutengeneza hotspot vizuri tu.
ya kwanza hapo juu yenye uwezo mkubwa as a router, hii ulioitaja ina usb port ya kuconnect storage device kama hdd na flash, port za lan na wifi kwa ajili kuconect vifaa mbalimbali etc.Uhawei 4G router B315 ipo kundi lipi kati ya hayo uliyouataja hapo?