Ndio maana tunahitaji katiba itakayowatoa hawa mahayawani madarakani. Unapohalalisha kosa moja kwa kulinganisha na kosa lingine, huku ukionekana msomi kabisa...it raises eyebrows!Ccm yenyewe huiba kura sembuse waliofoji vyeti?
Huu ndio ukweli wenyeweInaumiza, inauma sana, imetugharimu sana tuliokutwa au ndugu zetu kukutwa na janga hili lakini ni muhimu kufanya mambo sahihi kadri inavyotakiwa
Mimi binafsi watu wangu wa karibu sana wamepigwa na hili janga na familia zimeyumba na imetugharimu lakini kamwe siwezi kuilaumu serikali na kumtetea mtu aliyenunua au kughushi vyeti. Kamwe!!!!
Kosa ni kosa tuu haijalishi linakufaidisha au kukubeba kwa kiasi gani
Roho mbaya za kubaniana mbona kikwete aliwalipa wote hao na kuajiri maelfu ya vijana kuanzia ualimu Hadi udaktari
Acha ujinga.Jk alilipa mishahara hewa na nchi ikawa stable.
Heko jk
You are so wise I admired your commentInaumiza, inauma sana, imetugharimu sana tuliokutwa au ndugu zetu kukutwa na janga hili lakini ni muhimu kufanya mambo sahihi kadri inavyotakiwa
Mimi binafsi watu wangu wa karibu sana wamepigwa na hili janga na familia zimeyumba na imetugharimu lakini kamwe siwezi kuilaumu serikali na kumtetea mtu aliyenunua au kughushi vyeti. Kamwe!!!!
Kosa ni kosa tuu haijalishi linakufaidisha au kukubeba kwa kiasi gani
🙏You are so wise I admired your comment
Unatetea wizi wa mali ya umma?Jk alilipa mishahara hewa na nchi ikawa stable.
Heko jk
wanadai majambazi yatakuwa mengi uraianiKama ni SHERIA, mbona wale wanaovaa nguo zenye nanii hawajaguswa 😀 😀 , tena kule wamejazana.... Kweli ni udanganyifu ila wametafutwa wale WANAOWEZWA tu...