Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

Ccm yenyewe huiba kura sembuse waliofoji vyeti?
Ndio maana tunahitaji katiba itakayowatoa hawa mahayawani madarakani. Unapohalalisha kosa moja kwa kulinganisha na kosa lingine, huku ukionekana msomi kabisa...it raises eyebrows!

Mtu mwizi ni mwizi tu, anastahili adhabu, haijalishi kaiba kwa kalam au silaha. Hili linchi kimekuwa hovyo sana, watu wake tumékuwa wa hovyo zaidi.
 
Inaumiza, inauma sana, imetugharimu sana tuliokutwa au ndugu zetu kukutwa na janga hili lakini ni muhimu kufanya mambo sahihi kadri inavyotakiwa

Mimi binafsi watu wangu wa karibu sana wamepigwa na hili janga na familia zimeyumba na imetugharimu lakini kamwe siwezi kuilaumu serikali na kumtetea mtu aliyenunua au kughushi vyeti. Kamwe!!!!

Kosa ni kosa tuu haijalishi linakufaidisha au kukubeba kwa kiasi gani
Huu ndio ukweli wenyewe
 
Roho mbaya za kubaniana mbona kikwete aliwalipa wote hao na kuajiri maelfu ya vijana kuanzia ualimu Hadi udaktari

Mumshukuru sana Magufuli aliishia kuwafuta ktk ajira lakn laiti mimi ndie ningekuwa Rais wa nchi ningewapandisha mahakamani kwa makosa ya ubadhirifu, uhujumu uchumi na kughushi

Watu wanahangaika kuitafuta elimu ya kweli ila nyinyi mnatumia shortcut ku-make life
 
Elon musk huajiri watu bila kujali sana vyeti bali weledi, hio ni kauli yake ipo mitandaoni.
Ana maarifa makubwa sana ya Rocket science hajasomea chuo chochote diniani na hana cheti .
Ameanzisha dhule kwa ajili ya watoto wake isiojali vyeti bali maarifa.
Hilo lizungu lina akili kuliko watanzania wote ila sisi tunajifanya tunajua kuliko wajuzi wanaounda vitu.
Kuna mdada mmoja USA ni self made engineer ameshiriki project nyingi na hana vyeti, anaitwa elieti nendeni you tube mtaona project zake.
Waafrika umasikini wa akili unatusimbua, tunajali vyeti hata mashine ya kuunda njiti za kibiri hatuwezi upumbavu tu unatusumbua.
 
Inaumiza, inauma sana, imetugharimu sana tuliokutwa au ndugu zetu kukutwa na janga hili lakini ni muhimu kufanya mambo sahihi kadri inavyotakiwa

Mimi binafsi watu wangu wa karibu sana wamepigwa na hili janga na familia zimeyumba na imetugharimu lakini kamwe siwezi kuilaumu serikali na kumtetea mtu aliyenunua au kughushi vyeti. Kamwe!!!!

Kosa ni kosa tuu haijalishi linakufaidisha au kukubeba kwa kiasi gani
You are so wise I admired your comment
 
Back
Top Bottom