4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wenda wewe tangu umekaa kwako hujawahi TOKA nje ya mlango wako,hatuko hapa kuongea uongo kufuraisha mtu ,kitu Kama hujaona,kusikia fanya utafiti,uliza then ndo uje kucrash hapa,Acha husda....lini umeona TRA wameweka kofuli kwenye biashara ya mtu?