Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

Wachukuliwe hatua akiwemo na mwanaume aliyemtia mimba na nduguze huyo mwanaume wakamatwe.kwa kutia mimba na kutowajibika hata kutoonekana tu hapo hospitalini wanaachia mama mkwe anahangaika peke yake
Makonda yuko huko kanda ya Ziwa akicheza sarakasi na kuponda maisha. Maushungi naye yuko bize kusafiri na wasanii uchwara kwenda kuponda maisha nje. Kila siku nasema jamani haya mambo hayana vyama wala hayana ndugu. Bila kuungana na kuwandoa hawa watawala walioishiwa basi kila mtu ataendelea kuathirika.
 
Msafara wa waziri unakuwa na v8 kama 20 nakadharika yenye thamani hata mil600 nk halafu mahospitalini hakuna vifaa Tina,nchi masikini😄😄😄😄
 
Kwanza, what was the immediate cause of death kwa huyu mama?

Pili. Alitakiwa kufanyiwa operation, sehemu nyingi unakuta mahitaji na dawa zinazohitajika kwa operation zinanunuliwa na mgonjwa mwenyewe sababu kituo hakina stock ya hayo mahitaji ya huduma za bure, either serikali inapeleka kwa uchache au kwa kuchelewa.

Na serikali hiyo hiyo inakuja kukubana kuwa mtoa huduma juwa "kwanini haungizi mapato yakutosha" kutokana na huduma unazozitoa kituoni 😂.

Siasa ni nyingi sana kwenye huduma za afya, na viongozi wetu wanahubiri huduma bure lakini uhalisia nadhani mnaujua mkifika kupata matibabu
 
Back
Top Bottom