Kwanza, what was the immediate cause of death kwa huyu mama?
Pili. Alitakiwa kufanyiwa operation, sehemu nyingi unakuta mahitaji na dawa zinazohitajika kwa operation zinanunuliwa na mgonjwa mwenyewe sababu kituo hakina stock ya hayo mahitaji ya huduma za bure, either serikali inapeleka kwa uchache au kwa kuchelewa.
Na serikali hiyo hiyo inakuja kukubana kuwa mtoa huduma juwa "kwanini haungizi mapato yakutosha" kutokana na huduma unazozitoa kituoni 😂.
Siasa ni nyingi sana kwenye huduma za afya, na viongozi wetu wanahubiri huduma bure lakini uhalisia nadhani mnaujua mkifika kupata matibabu