KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
 
Kazi ngumu wafanye wapya, halafu enjoyment wafanye wakubwa? Hawa watumishi wapya wasipokuwa wakali na kugoma kusaini huo upupu wataliwa hadi mifupa. Seriously, nchi haiwezi kwenda hivi!
 
Back
Top Bottom