Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ni bora tukawapeleka huko maana walimu wa private nao lazima wafundishe kwa nguvu zote na juhudi zote njaa yao sio Kali sana kama nyie mnaotembea na mihogo kwenye vibegi au kashata au barafu za kuja kuwauzia wanafunzi,
Pia mwalimu wa private asipofundisha vizuri anafukuzwa sasa nyie huko government nani atakufukuza hata kama hujui lolote unakuwa unawajaza tu ujinga watoto.
Na naiomba tu serikali nyie walimu wasiwaongezee hata mia maana hamjielewi nyie na hamna hamfanyi kazi ipasavyo mpo mpo tu mnalalamika salary ndogo salary ndogo,, mnafanya kazi kiujanja ujanja mnataka salary kubwa ya nini? Ili muoongeze wake? Maana wafanyakazi wa government wanaongoza kwa kuwa na wake wengi ni walimu na police
Kwa namna unavyo jishaua shaua humu, kuna kila dalili wewe ni mtoto wa mama tu na ambaye umepata hiyo kazi unayojitutumua nayo humu kwa mgongo wa wazazi wako.
Kiufupi tu hujui maisha ni nini! na pia huna uelewa wowote wa kitu kinachoitwa "Division of Labour". Inawezekana vipi watu wote nchini wakafanya kazi katika NGO's! Halafu una uhakika kiasi gani hizo NGO's zinalipa hicho kiasi cha mshahara ulichokitaja?
Hoja zako nyingi ni dhaifu na za kipuuzi. Huna uelewa wa vitu vingi. Hivyo sina budi tu kukupa pole. Ni utoto tu unao kusumbua. Ukikua utaacha. Huwezi kudharau kazi ya mtu mwingine ambaye humsaidii chochote, kwa sababu tu ya mtazamo wako finyu wa kuamini kazi unayoifanya wewe ni nzuri na bora kuliko nyingine.
Shame on you!