Watumishi kujazana kwenye ATM tarehe za mishahara ni kielelezo tosha cha umaskini na ukiukwaji wa haki za watumishi

Nyama zinaliwa jiokoni huku watu wanasubiria mchuzi mezani..mwe mwe!..sijui ncheke au nilie
Fundisho lisilo na mwelekezaji..
 
Kuajiliwa serikalini ni kujiunga kwenye umasikini milele, njooni huku kwenye makampuni na international NGO tunakula maisha tu,,,unalipwa basic salary kuanzia 2million mpaka 8million unapewa accommodation laki nne kila mwezi na communication laki ,,,Sasa huko sijui mnafurahia maisha gani

MTU unafanya kazi serikalini miaka mitano hata IST au passo imekushinda kinunuwa sasa si utakufa na madeni na kula mihogo,,,mie nawashangaa sana wanaotaka kufanya kazi serikalini..

Ukitaka kufurahia maisha serikalini uwe mwanasiasa tyuu ila wengine ni shida tupu tena kama unafanya kazi kwenye halmashauri wewe juwa ushajiunga kwenye umasikini

Hakuna ajira itakayo kupa maisha uyatakayo.
Anzisha side hustle broo.

#YNWA
 
Kuajiliwa serikalini ni kujiunga kwenye umasikini milele, njooni huku kwenye makampuni na international NGO tunakula maisha tu,,,unalipwa basic salary kuanzia 2million mpaka 8million unapewa accommodation laki nne kila mwezi na communication laki ,,,Sasa huko sijui mnafurahia maisha gani

MTU unafanya kazi serikalini miaka mitano hata IST au passo imekushinda kinunuwa sasa si utakufa na madeni na kula mihogo,,,mie nawashangaa sana wanaotaka kufanya kazi serikalini..

Ukitaka kufurahia maisha serikalini uwe mwanasiasa tyuu ila wengine ni shida tupu tena kama unafanya kazi kwenye halmashauri wewe juwa ushajiunga kwenye umasikini
Hizo international NGO zinaweza kutuajiri wote?.... anyway hakuna asiyependa maslahi mazuri ila kuishi bila kazi kusikie tu ni bora upate hicho hicho kidogo.
 
Back
Top Bottom