Watumishi kujazana kwenye ATM tarehe za mishahara ni kielelezo tosha cha umaskini na ukiukwaji wa haki za watumishi


Kwa namna unavyo jishaua shaua humu, kuna kila dalili wewe ni mtoto wa mama tu na ambaye umepata hiyo kazi unayojitutumua nayo humu kwa mgongo wa wazazi wako.

Kiufupi tu hujui maisha ni nini! na pia huna uelewa wowote wa kitu kinachoitwa "Division of Labour". Inawezekana vipi watu wote nchini wakafanya kazi katika NGO's! Halafu una uhakika kiasi gani hizo NGO's zinalipa hicho kiasi cha mshahara ulichokitaja?

Hoja zako nyingi ni dhaifu na za kipuuzi. Huna uelewa wa vitu vingi. Hivyo sina budi tu kukupa pole. Ni utoto tu unao kusumbua. Ukikua utaacha. Huwezi kudharau kazi ya mtu mwingine ambaye humsaidii chochote, kwa sababu tu ya mtazamo wako finyu wa kuamini kazi unayoifanya wewe ni nzuri na bora kuliko nyingine.

Shame on you!
 
Kwahiyo wewe ulisoma saint ipi mkuu?
Maana usikute ni sizitaki mbichi hizi
 
Si

Wewe utakuwa mwalimu tuu kimbilio la vilaza ,,ukweli utabaki kuwa ukweli tuu..
Hata mwanasiasa wakitaka kufanya majaribio wanayafanyia kwenu ..refer kwenye kujiandikisha wapiga kura, walimu waliyochapwa viboko Mara, sector gani inazalilishwa ovyo ovyo tu
 
Kwahiyo wewe ulisoma saint ipi mkuu?
Maana usikute ni sizitaki mbichi hizi
Hahahaha nimeishi
Mkenguwa mnajielewa mngekuwa mnapigwa biti na kuchezewa hivyo na wanasiasa? Kila mwanasiasa anataka kuwachezea tu nyie
 
Nasikia wakati wa ukoloni walimu walithaminiwa sana. Labda hali ya sasa ni matunda ya uhuru (choices)
 
Sasa pesa zinatoka kwenye ATM we ulitaka wakajazane hospitali?
😀😀😀😀 hii inanikumbusha kipindi cha chuo boom likitoka, wale wenye boom mkienda kwenye ATM wenzenu wanawacheka ooh ona mnakimbilia boom sijui nini sasa unajiuliza ulitaka nikimbilie nini chooni .
 
😀😀😀😀 hii inanikumbusha kipindi cha chuo boom likitoka, wale wenye boom mkienda kwenye ATM wenzenu wanawacheka ooh ona mnakimbilia boom sijui nini sasa unajiuliza ulitaka nikimbilie nini chooni .
Hahahahaha
 
Bado nanunua midege, bado ndege4 labda nikimaliza ntawafikiria kwani ww hutaki kupanda ndege?
 
Mbona tuharibiana mood wazee..

Dah..!
 
Watumishi watampigia kura Jiwe?
 

Mimi mwenzako nawaheshimu walimu! maana bila wao, nisingekuwepo hapa nilipo. Sasa wewe endelea tu kuwadharau, halafu madhara yake utakuja kuyaona siku za usoni.

Bahati mbaya walimu wanaonekana kama watu masikini na wanyonge, kwa sababu tu ndiyo kundi lenye watu wengi kwenye ajira za serikali. Ila ukweli ni kwamba ndani ya hao wengi, wapo walimu wachache ambao wamejiongeza kitambo na wana maisha mazuri kuliko hata unavyodhani.
 
Wanaojiongeza ni wachache sana gani kama 3% tuu,, wengi wao wanalilia nyongeza ya salary na bahati mbaya president ashasema haongezi mpaka akamilishe mambo ya maendeleo!!!
 
Toa muongozo wawe wanakutana tarehe zipi kwenye ATM?


Cc: mahondaw
Inawalazimu waende tarehe sare, hawana namna. Maana wengi pindi salary inapoingia mfukoni hawana pesa. Kama wangekuwa na unafuu wa maisha wasingepanga foleni kwenye ATM inayooperate 24/7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…