mara chanjo".
Wakija kitaa "...unajua mimi ni nani"Watumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
Wizara zina activities nyingi hawategemei mshahara.Watumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
Oh really? Lini ? HaiwezekaniDRS nyongeza ni 30% wameongezewa
😁😄😃😀😆😅😅😂😂🤣🤣HaaWakija kitaa "...unajua mimi ni nani"
Ni walewale tu.Naomba kuuliza iwapo kuna tofauti ya kimaana ama kisheria kuhusu "wafanyakazi wa serikali" na "watumishi wa serikali"
JESUS IS SAVIOR
Na wao wamekubali kabisa kusukulishwa.Wanasiasa wamewafanya watumishi misukule
Inategemea ni Mtumishi wa ngazi ganiWatumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
DRS Au DRC, Hebu elezea vzr hapaDRS nyongeza ni 30% wameongezewa
Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?Watumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
Mkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745