Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.

Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na mabango ya "mazoezi ni afya. ..mara chanjo".

Ipo haja ya kuwaangalia kwanza hawa wa Local Government, wamechoka sana ,kwa sura na kiuchumi.
Hakuna anaewasemea watu wako na Walimu tuu,stupid zao.

Just imagine Mtaalamu wa Diploma fani ya uhandishi eti scale yake ni C sawa na 570,000 ,ukikata Kodi na makolokolo mengine mtu anaondoka na 400k ,hii sio sawa.

Ukiacha Hawa wa Halmashauri kuja wale wa Wizarani nao ni hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom